Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wacha waendelee kulitumia jeshi kinyume na majukumu ya jeshi ipo siku watakataa kutii amri za kimchongoMbona Kama jeshi limemkataaaa hivii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha waendelee kulitumia jeshi kinyume na majukumu ya jeshi ipo siku watakataa kutii amri za kimchongoMbona Kama jeshi limemkataaaa hivii
Nakumbuka jinsi alivyo wafukuza wawekezaji wa zao la korosho kwa kuwatisha na wanajeshiKati ya Chalamila ambaye katoa kauli kuwa tarehe 24 ni siku ya usafi Dar es salaam na Magufuli ambaye alizuia Maandano na mikutano ya siasa kwa miaka yote ya utawala wake huku yeye akifanya kila siku nani mwovu zaidi?
Mimi naona lawama na laana zote atupiwe Magufuli muasisi wa ushenzi katika nchi iliyostaarabika
Mwambukusi na Cdm ni vitu viwili tofautiBy the way, Chadema Huwa mnaandamana? Maandamano ya Mwambukusi na Mdude yaliishia wapi?
Hi Magufuli hapa anaingiaje kwamfano? Ukiwa na stress tafuta namna bora ya kuziondoa badala ya kupigana na wafuKati ya Chalamila ambaye katoa kauli kuwa tarehe 24 ni siku ya usafi Dar es salaam na Magufuli ambaye alizuia Maandano na mikutano ya siasa kwa miaka yote ya utawala wake huku yeye akifanya kila siku nani mwovu zaidi?
Mimi naona lawama na laana zote atupiwe Magufuli muasisi wa ushenzi katika nchi iliyostaarabika
Kwani sasa vyama vya upinzani ndiyo vina Uhuru,unaandika kama umekatwa kichwa.Kati ya Chalamila ambaye katoa kauli kuwa tarehe 24 ni siku ya usafi Dar es salaam na Magufuli ambaye alizuia Maandano na mikutano ya siasa kwa miaka yote ya utawala wake huku yeye akifanya kila siku nani mwovu zaidi?
Mimi naona lawama na laana zote atupiwe Magufuli muasisi wa ushenzi katika nchi iliyostaarabika
Kampuni mlizozipq tenda ya usafi zifuteni basi Ili majeshi yapewe tenda ya usafi!usafi kwanza.
Lengo lenu litakuwa limetimia?Uzuri waandamanaji wa kujitolea wamepatikana. JWTZ 8,000 na Polisi 5000. Ukijlisha ni 11,000 hao ni wengi wa kuanzia.
Ahahahahaha! Na Mdude? Ahahahahaha!Mwambukusi na Cdm ni vitu viwili tofauti
AhahahahNakumbuka jinsi alivyo wafukuza wawekezaji wa zao la korosho kwa kuwatisha na wanajeshi
Na nani ccm au??Chalamila afukuzwe
Hiyo siku ni ipi Mkuu? Maana kuna siku,kuna siku, jeshini ni UTII.Ccm mmekuwa ni waoga sana kwa cdm na mnakuwa wa kwanza kukimbilia kwa wanajeshi.
Ila lazima mjue kuwa kuna siku hata hao wanajeshi watakataa huo usanii wenu
Sawa jichanganye siku moja utajua kuwa zipo kazi nyingi tuu, ila najua dakika 10 zitatosha kwa wewe kupangusa kamasi kwa ngumi huku unalia na kutubu.Itakuwa vizuri maana hawana kazi za kufanya hao JWTZ. Waendee wakazibue chemba za maji taka majumbani.
Ratiba ya kazi imepangwa hivyo. Wewe ni nani upinge?Kama dhamira ni usafi basi Waaze leo na sio kusubiri mpaka TAREHE 28
Akili ni nywele, kila mtu ana zake.Nimestuka sana nilipoisikia kauli aliyotoa mkuu wetu wa mkoa wa Dar tena kanisani, kuwa tarehe 24, "anawaagiza" askari Polisi 5,000 na askari wa JWTZ 8,000 wajitokeze mitaani Dar, ili wafanye usafi!
Kustuka kwangu ni kuona Mkuu wa Mkoa, asivyoelewa majukumu ya Hawa walinxi wetu, Kwa kuwa Jeshi la Polisi nchini, wajibu wake namba moja ni kuwalinda Rais na Mali zao na JWTZ wajibu wao namna moja ni kulinda mipaka ya nchi yetu.
Nimuulize Mkuu wa Mkoa, Chalamila, hivi Kwa kuwataka hao Polisi wetu na askari wa JWTZ wafanye usafi wa Jiji, siyo kukiuka Katiba ya nchi?
Huyu aliyetoa kauli hii ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar na pia ameitoa kauli hiyo akiwa kanisani na ametoa kauli hiyo, baada ya kumsikia Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha siasa nchini Cha Chadema, kutoa kauli kuwa hiyo tarehe 24 watafanya maandamano ya amani, ambayo ni haki yao kikatiba kwa kuitaka serikali kuiondoa bungeni miswada 3 ya Sheria, Kwa kuwa hiyo miswada ni kiini macho!
Huyo Chalamila ndiye anayejaribu kuivunja Katiba ya nchi waziwazi Kwa kutaka kuleta taharuki nchini, Kwa kuwa siku hiyo aliyoyaagiza majeshi ya ulinzi nchini yaingie mitaani na kufanya usafi, ndiyo siku hiyohiyo ambayo Mwenyekiti wa Chadema ametangaza kuwa wanategemea kufanya maandamano ya amani.
Najua kuwa Chalamila, ametoa kauli hiyo ili kuwatisha wafuasi wa Chadema, wanaotarajia kuandamana siku hiyo, waingie hofu ya kuandamana.
Yeye Chalamila anajua fika kuwa taarifa aliyotoa Mwenyekiti wa Chadema, ni halali kabisa, Kwa kuwa ndani ya Katiba yetu ya nchi, inaruhusu kufanyika maandamano ya amani.
Hivi tukisema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, ndiye anayetaka kuleta uvunjifu wa amani ya nchi hii, nitakawa nakosea kweli?
Nimalizie Kwa kusema kuwa, kama amani ya nchi hii itapotea, basi Mkuu wa Mkoa wa Dar, awajibike Kwa kuitumbukiza nchi hii kwenye umwagaji wa damu.
Tunamwomba Mungu aendelee kuilinda nchi hii, kutokana na hao viongozi wa Chama tawala na serikali yao, kutokana na hila zao za wakati wote za kutaka kuendelea kuitawala nchi hii bila kutaka kuondoka madarakani Kwa amani