GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwahiyo wala msipoteze muda wenu kusubiria Matokeo yao ya Kesho au Keshokutwa hapo Mwenge Kwao kwani si tu kuwa Watafungwa bali Watafungwa nyingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....Kama kukaza angekua ana kaza Simba, Maana mashabiki wa Mbumbumbu fc akilizenu hazieleweki.
Simba ame kazwa mara nne mfulululizo kwanini asikaze!!
Wakati mnalaumu timu zingine/ watu wengine muwe mna itathmini timu yenu ina mchango gani katika kuizuia Yanga isitwae mataji.
Yaani Simba ndio inayo gawa utamu kwa Yanga kila wanapo kutana alafu unailamu mid table timu kwanini hai kazi!!
Kweli u mbumbumbu mzigo, Rage apewe maua yake.
Wakikujibu ni tag.Vipi na Simba aliyefungwa mara 4 mfululizo! Na yeye alikaza, au alikazana!!
Matusi ya Nini?siyo vizuri kumtukana mtu.Kali ni yanga damu mpumbavu yule atawavulia pichu yanga wapige bao za kutosha.
sikuaga napendelea sana kumsikiliza mwanamke akiongelea mpira wa miguu ila wewe mwanadada umefanya nianze kuwasikiliza baadhi ya wanawake wakiongelea sokaHaushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....
Litimu lako lina udhamini wa timu 8 wote wakikutana wanajiachia...
Matokeo yake mmeyapata huko CAF..mlivyofurushwa na kushika mkia wa group mpk mje mshike namba 2 kutoka mwisho kwa mbindeee....
Yani kweli nyie ndo wa kutufunga majayanti wa soka tunaowaliza waarabu na wababe kibao wa soka tuliokuwepo kwny top ten CAF useme hakuna hujuma hapo na uchawi?
Yani nyie shukuruni tuu nje ya kiwanja mnatuwin ila sio kwa uwezo wenu ndani ya dimba la Benjamin Mkapa ambalo mnyama hajawahi shindwa..
Hautaki Andamana
🤍 🤍 🤍 asante kaka kwa hilosikuaga napendelea sana kumsikiliza mwanamke akiongelea mpira wa miguu ila wewe mwanadada umefanya nianze kuwasikiliza baadhi ya wanawake wakiongelea soka
Haushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....
Litimu lako lina udhamini wa timu 8 wote wakikutana wanajiachia...
Matokeo yake mmeyapata huko CAF..mlivyofurushwa na kushika mkia wa group mpk mje mshike namba 2 kutoka mwisho kwa mbindeee....
Yani kweli nyie ndo wa kutufunga majayanti wa soka tunaowaliza waarabu na wababe kibao wa soka tuliokuwepo kwny top ten CAF useme hakuna hujuma hapo na uchawi?
Yani nyie shukuruni tuu nje ya kiwanja mnatuwin ila sio kwa uwezo wenu ndani ya dimba la Benjamin Mkapa ambalo mnyama hajawahi shindwa..
Hautaki Andamana
Simba ilishawahi kuwasajili Gadiel Michael, Haruna Nionzima, Benard Morison, Saidoo Ntibazonkiza n.k ao wote walipo sajiliwa walipata nafasi katika kikosi cha kwanza pale Msimbazi na Yanga awajawahi kulalamika kwamba walipokua Jangwani walikua wakiuza Mechi.Haushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....
Litimu lako lina udhamini wa timu 8 wote wakikutana wanajiachia...
Matokeo yake mmeyapata huko CAF..mlivyofurushwa na kushika mkia wa group mpk mje mshike namba 2 kutoka mwisho kwa mbindeee....
Yani kweli nyie ndo wa kutufunga majayanti wa soka tunaowaliza waarabu na wababe kibao wa soka tuliokuwepo kwny top ten CAF useme hakuna hujuma hapo na uchawi?
Yani nyie shukuruni tuu nje ya kiwanja mnatuwin ila sio kwa uwezo wenu ndani ya dimba la Benjamin Mkapa ambalo mnyama hajawahi shindwa..
Hautaki Andamana
Hata kama mtamfunga 7x70 Simba hanaga ufala wa kurudi nyuma kisa Kafungwa mara nyingi na 🐸Vipi na Simba aliyefungwa mara 4 mfululizo! Na yeye alikaza, au alikazana!!
Ona Sasa chura anarukaruka ... Chura anarukaruka chura.... Chura anarukaruka chura......... CHURA SASA UMEELEWA UGORO NA VISUNGURA HATA HUJUI UNAFANYA NINI ... Pongo mmoja.Kama kukaza angekua ana kaza Simba, Maana mashabiki wa Mbumbumbu fc akilizenu hazieleweki.
Simba ame kazwa mara nne mfulululizo kwanini asikaze!!
Wakati mnalaumu timu zingine/ watu wengine muwe mna itathmini timu yenu ina mchango gani katika kuizuia Yanga isitwae mataji.
Yaani Simba ndio inayo gawa utamu kwa Yanga kila wanapo kutana alafu unailamu mid table timu kwanini hai kazi!!
Kweli u mbumbumbu mzigo, Rage apewe maua yake.
Timu kama Simba ...Ndipo wanafeli hao Ngaya..maana mwisho wa siku wakikutana na timu zenye kukaza ulimi nje...
Bullshit.Haushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....
Litimu lako lina udhamini wa timu 8 wote wakikutana wanajiachia...
Matokeo yake mmeyapata huko CAF..mlivyofurushwa na kushika mkia wa group mpk mje mshike namba 2 kutoka mwisho kwa mbindeee....
Yani kweli nyie ndo wa kutufunga majayanti wa soka tunaowaliza waarabu na wababe kibao wa soka tuliokuwepo kwny top ten CAF useme hakuna hujuma hapo na uchawi?
Yani nyie shukuruni tuu nje ya kiwanja mnatuwin ila sio kwa uwezo wenu ndani ya dimba la Benjamin Mkapa ambalo mnyama hajawahi shindwa..
Hautaki Andamana
Tuliza Munkari Bibie Kama Hayo Yote Mnayafahamu Na Hamchukui Hatua Ya Namna Ya Kukabiliana Nayo Basi Mnafanyaga Kusudi Kufungwa,,Punguzeni Makusudi Yenu Hayo Yatatuua Kwa Furaha.Haushangai why huwa hatuna muda wa kulaumu kwanini mnatufunga? Mjue kuwa tushajua mbinu zenu za kishirikina...za kuingia milango isiyoruhusiwa..kuhonga wachezaji ikiwemo hao mlionao huko kutoka Simba..n.k tunajua kuna siku yenu tutawachabanga mpk mpoteane....
Litimu lako lina udhamini wa timu 8 wote wakikutana wanajiachia...
Matokeo yake mmeyapata huko CAF..mlivyofurushwa na kushika mkia wa group mpk mje mshike namba 2 kutoka mwisho kwa mbindeee....
Yani kweli nyie ndo wa kutufunga majayanti wa soka tunaowaliza waarabu na wababe kibao wa soka tuliokuwepo kwny top ten CAF useme hakuna hujuma hapo na uchawi?
Yani nyie shukuruni tuu nje ya kiwanja mnatuwin ila sio kwa uwezo wenu ndani ya dimba la Benjamin Mkapa ambalo mnyama hajawahi shindwa..
Hautaki Andamana
Nadhani wakiweka na ushahidi wa mabomba ya sindano itakua poa zaidi..kama ushahidi wa Simba wanao waulete...Simba ilishawahi kuwasajili Gadiel Michael, Haruna Nionzima, Benard Morison, Saidoo Ntibazonkiza n.k ao wote walipo sajiliwa walipata nafasi katika kikosi cha kwanza pale Msimbazi na Yanga awajawahi kulalamika kwamba walipokua Jangwani walikua wakiuza Mechi.
Ingawa Simba alifanikiwa kuwachukua wachezaji ao wote bado Simba walifungwa na Yanga kwenye Ligi.
Kuhusu ushirikina, Katika misimu 10 mfulululizo ya Ligi ya ndani Simba imekutana na Rungu la Tff na kimataifa rungu la CAF kwa kujihusisha na Vitendo vya kishirikina.
Simba imekua timu kinara ya kulalamikiwa kule CAF kwa kujihusisha na mambo ya kishirikina dhidi ya vilabu mbalimbali vinavyo kuja kucheza Tanzania.
Shirikisho la mpira Africa CAF limesha kitahadharisha chama cha mpira Tanzania TFF juu ya mwenendo mbaya wa klabu ya Simba juu ya malalamiko mengi ya Timu wanachama wa CAF wanao kuja kucheza dhidi ya Simba Tanzania.
Upo uwezekano wa Simba kufungiwa kucheza mechi zake za kimataifa uwanja wa Taifa/Tanzania kama malalamiko ayo yanaendelea na kupatikana ushahidi.
Kwasasa CAF wakifanikiwa kupata ushahidi basi Simba habari yake itakua imekwisha kucheza mechi apa Nchini.
Tff kwa upande wao wamekua wakijitahidi kuwa tandika Simba adhabu kila msimu kuhusiana na Ushirikina ila sikio la kufa halisikii dawa.
Kitu kingine wengi wa Mashabiki wa Mbumbumbu fc wasicho fahamu, Simba kufungwa na Yanga sio stori ni jambo la kihistoria kabla ata Rage aja anza kuchezea Simba au kuwa Mwenyekiti wa Simba mpaka sasa ni Mwanachama wa kawida.
Subiri soon as possible...Tuliza Munkari Bibie Kama Hayo Yote Mnayafahamu Na Hamchukui Hatua Ya Namna Ya Kukabiliana Nayo Basi Mnafanyaga Kusudi Kufungwa,,Punguzeni Makusudi Yenu Hayo Yatatuua Kwa Furaha.