Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Mkuu,... March 17, 2021 was the greatest milestone of this nation. Ni tarehe ambayo, sio kwamba umuhimu wake ni tukio lenyewe, bali ni mwanzo wa fikra na mtazamo mpya kama taifa....
... soma hii thread Mkuu Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tenaMkuu,
Una maana gani unaposema angeidadavua (kwa hiyo kwa sasa hayupo?)
Quote: "Apumzike kwa amani Beatrice Kamugisha angeidadavua vizuri sana mada hii!"
Standadi goji.....Kazi za awamu ya nne ambazo hazikukamilika zilisimama awamu ya tano kwahiyo ikabuniwa awamu ya sita na kubariki kazi za awamu ya nne ziendelee
Ufisadi?Kazi za awamu ya nne ambazo hazikukamilika zilisimama awamu ya tano kwahiyo ikabuniwa awamu ya sita na kubariki kazi za awamu ya nne ziendelee
Nakuuliza Chizi Maarifa, kwa uchizi wako na kujitia ndaro, Mtanzania asiyejua misemo/methali za Kiswahili apewe jina gani?Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?...
Kama kazi haikusha lini ilisimama? Maana wajitia ujuvi na umajununi uso kifani ilhali unaonesha ni zumbukuku ulimwengu upo huku. Lini kazi zilisimama sasa ziendelee?Nakuuliza Chizi Maarifa, kwa uchizi wako na kujitia ndaro, Mtanzania asiyejua misemo/methali za Kiswahili apewe jina gani?...
Ohh ... Kazi za ujenzi wa bandari ya bagamoyo? Ulisimama. Sasa uendelee...Nakuuliza Chizi Maarifa, kwa uchizi wako na kujitia ndaro, Mtanzania asiyejua misemo/methali za Kiswahili apewe jina gani?...
Mswahili anaweza kuwa anakuchukia/unamkwaza na bado akaishi na weye vema tu.Live amongst the Swahili natives along with one eye closed and the second one very open!ππππππHizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?...
Unaamini hivyo?mazishi ya kitaifa yalisimamisha baadhi ya shughuli za kuwaletea wananchi maendeleo .
Hili si suala la imani, ni jambo lililoonekana wazi kabisa, shughuli zilisimama kupisha mazishi na pm akiwa mwenyekiti wa kamati ya mazishi kitaifa.Unaamini hivyo?
Unajiaminisha hivyo?πHili si suala la imani, ni jambo lililoonekana wazi kabisa, shughuli zilisimama kupisha mazishi na pm akiwa mwenyekiti wa kamati ya mazishi kitaifa.
Unajiaminisha hivyo?
Hayo ni mawazo yangu kama ulivyouliza na kama unamawazo tofauti na yangu ni jambo zuri pia.Unajiaminisha hivyo?π