Ni kazi gani ambayo ilisimama na sasa Rais anasema iendelee? Mmewahi jiuliza

Ni kazi gani ambayo ilisimama na sasa Rais anasema iendelee? Mmewahi jiuliza

Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.

Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?

Sasa Rais anasema ziendeleeee....

Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?

Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Uzi tayari
 
Magufuli alisema HAPA KAZI TU na yeye anasisitiza pamoja na Magufuli kutokuwepo ile kazi aloisisitiza iendelee!
 
Kwa kumbukumbu zangu slogan hii ya Kazi iemdelee ilitumika pia katika kampeni ya mwaka 2020 wala sio Samia kiukweli
images%20(6).jpg
 
Nakuuliza Chizi Maarifa, kwa uchizi wako na kujitia ndaro, Mtanzania asiyejua misemo/methali za Kiswahili apewe jina gani?

Serikali ya Awamu ya tano ilikuwa na kaulimbiu (msemo) wa Hapa Kazi Tu, je, ulielewaje? Je, hiyo kazi imeisha?

Serikali ya Awamu ya Sita, ambayo kimsingi ni mwendelezo wa Awamu ya Tano (Hapa Kazi Tu), inaendelea na kaulimbiu hiyo kwa kuwa kazi haijaisha - Asiyefanya kazi na asile
Tuweke kumbukumbu sawa.
Kauli ya Kazi iendelee haikuanza baada ya kifo cha Magufuli bali ulitumika pia katika kampeni za uchaghzi mkuu 2020 chini ya hayati Magufuli na wasanii waliitumia pale Taifa Dar sema haikupata umaarufu tu.
images%20(6).jpg
 
Mkuu,

Nimeusoma uzi huo wa tarehe 21/6/2021 na tangu tarehe hiyo hajaonekana kwenye jukwaa ambapo sio kawaida. Uzi ulinipita.....sina swali zaidi mpaka hapo majaliwa aliyoyaomba yatokee arejee asimimulie kilichojiri
... Mkuu, taarifa ni kwamba alishatangulia; hatutamsikia, kumwona, wala kumsoma tena. Inasikitisha ila ndio hivyo, kazi ya Mungu haina makosa.
 
Wakati mwingine ukijifanya una fikra sana unapoteza focus!ISioni shida na hiyo kauli mbiu,inajulikana wazi nchi inaongozwa kwa kupokezana vijiti!Sasa kuna ubaya gani Mama akiendeleza pale mwenzake alipoishia?Sawa,JPM alikuwa na mapungufu mengi,ila kuna mazuri pia!Sasa kusema kazi iendelee kuna shida gani?
Wewe ni aina ya watu unapewa 2+2=?,unataka uanze kuapply log!
Tujadili mambo ya msingi na sio hizi petty issues,grow up!
 
Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.

Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?

Sasa Rais anasema ziendeleeee.

Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?

Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
SSH anasema na anarudia kila mara! Uchumi, haki, utawala wa kisheria, Katiba, ajira n.k
 
Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.

Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?

Sasa Rais anasema ziendeleeee.

Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?

Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.

8a5e46a1996eca5110b101fe07b3bee0.jpeg.jpg

images.jpeg-3.jpg
 
Kama kazi haikusha lini ilisimama? Maana wajitia ujuvi na umajununi uso kifani ilhali unaonesha ni zumbukuku ulimwengu upo huku. Lini kazi zilisimama sasa ziendelee?
Jibu la swali lako ni hilo
Magufuli alisema HAPA KAZI TU na yeye anasisitiza pamoja na Magufuli kutokuwepo ile kazi aloisisitiza iendelee!
Umefafanua zaidi kuhusu uwiano wa "Hapa Kazi Tu" na "Kazi Ieendelee".

Chizi Maarifa upo!!! Chanja mtaa
 
Tangu nizaliwe bado sijaona mtu mwenye vision ya kitaifa zaidi ya Hayati Mwalimu JK..wengine wanajaribu ila kwa kweli wana mambo yao binafsi ya kufanya na ndio maana tunasonga kwa bahati.
 
Wakati mwingine ukijifanya una fikra sana unapoteza focus!ISioni shida na hiyo kauli mbiu,inajulikana wazi nchi inaongozwa kwa kupokezana vijiti!Sasa kuna ubaya gani Mama akiendeleza pale mwenzake alipoishia?Sawa,JPM alikuwa na mapungufu mengi,ila kuna mazuri pia!Sasa kusema kazi iendelee kuna shida gani?
Wewe ni aina ya watu unapewa 2+2=?,unataka uanze kuapply log!
Tujadili mambo ya msingi na sio hizi petty issues,grow up!
2+2= ? Ni ngapi?
 
Jina lake halisi alikuwa nani vile?
Mkuu JF ina miiko yake; sio sahihi kutaja jina halisi na I'd ya member humu. Tuzingatie vigezo na masharti. Kwenye ile thread ya kuaga, marehemu kaita ile I'd yake "nick name"; angependa kujulikana angetumia verified I'd.
 
Yani warudi kwenye shughuli zao kama kawaida...
 
Rais Samia mwenyewe alikwishaifafanua hiyo kaulimbiu yake. Alisema hivi:

"Nchi hii kila awamu ilifanya kazi. Awamu ya kwanza ilifanya kazi, awamu ya pili ilifanya kazi, awamu ya tatu ilifanya kazi, awamu ya nne ilifanya kazi, awamu ya 5 ilifanya kazi. Kazi ya awamu ya 6 ni kuendeleza kazi zilizoanzishwa na awamu hizi zilizotangulia"

Kwa tafsiri sahihi ni kwamba Rais Samia alikuwa anataka kuwapa uelewa sahihi wale malimbukeni na mashabiki maslahi wa awamu ya 5 walioaminishwa kuwa awamu ya 5 imefanya kazi kubwa kushinda awamu nyingine. Alikuwa anataka kuwaambia kuwa yeye anaendeleza kazi zote za awamu zote, na siyo za awamu ya 5 pekee.
 
Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.

Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?

Sasa Rais anasema ziendeleeee.

Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?

Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Jifunze kiswahili,kazi iendelee maana yake kuna kazi inafanyika na unapiona inafanyika unapowaaga unawaambia kazi iendelee

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom