Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Mkuu,... soma hii thread Mkuu Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena
Uzi tayariHizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?
Sasa Rais anasema ziendeleeee....
Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?
Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Kwa kumbukumbu zangu slogan hii ya Kazi iemdelee ilitumika pia katika kampeni ya mwaka 2020 wala sio Samia kiukweliHizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?
Sasa Rais anasema ziendeleeee....
Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?
Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Tuweke kumbukumbu sawa.Nakuuliza Chizi Maarifa, kwa uchizi wako na kujitia ndaro, Mtanzania asiyejua misemo/methali za Kiswahili apewe jina gani?
Serikali ya Awamu ya tano ilikuwa na kaulimbiu (msemo) wa Hapa Kazi Tu, je, ulielewaje? Je, hiyo kazi imeisha?
Serikali ya Awamu ya Sita, ambayo kimsingi ni mwendelezo wa Awamu ya Tano (Hapa Kazi Tu), inaendelea na kaulimbiu hiyo kwa kuwa kazi haijaisha - Asiyefanya kazi na asile
... Mkuu, taarifa ni kwamba alishatangulia; hatutamsikia, kumwona, wala kumsoma tena. Inasikitisha ila ndio hivyo, kazi ya Mungu haina makosa.Mkuu,
Nimeusoma uzi huo wa tarehe 21/6/2021 na tangu tarehe hiyo hajaonekana kwenye jukwaa ambapo sio kawaida. Uzi ulinipita.....sina swali zaidi mpaka hapo majaliwa aliyoyaomba yatokee arejee asimimulie kilichojiri
Jina lake halisi alikuwa nani vile?... Mkuu, taarifa ni kwamba alishatangulia; hatutamsikia, kumwona, wala kumsoma tena. Inasikitisha ila ndio hivyo, kazi ya Mungu haina makosa.
SSH anasema na anarudia kila mara! Uchumi, haki, utawala wa kisheria, Katiba, ajira n.kHizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?
Sasa Rais anasema ziendeleeee.
Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?
Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?
Sasa Rais anasema ziendeleeee.
Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?
Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Jibu la swali lako ni hiloKama kazi haikusha lini ilisimama? Maana wajitia ujuvi na umajununi uso kifani ilhali unaonesha ni zumbukuku ulimwengu upo huku. Lini kazi zilisimama sasa ziendelee?
Umefafanua zaidi kuhusu uwiano wa "Hapa Kazi Tu" na "Kazi Ieendelee".Magufuli alisema HAPA KAZI TU na yeye anasisitiza pamoja na Magufuli kutokuwepo ile kazi aloisisitiza iendelee!
2+2= ? Ni ngapi?Wakati mwingine ukijifanya una fikra sana unapoteza focus!ISioni shida na hiyo kauli mbiu,inajulikana wazi nchi inaongozwa kwa kupokezana vijiti!Sasa kuna ubaya gani Mama akiendeleza pale mwenzake alipoishia?Sawa,JPM alikuwa na mapungufu mengi,ila kuna mazuri pia!Sasa kusema kazi iendelee kuna shida gani?
Wewe ni aina ya watu unapewa 2+2=?,unataka uanze kuapply log!
Tujadili mambo ya msingi na sio hizi petty issues,grow up!
Mkuu JF ina miiko yake; sio sahihi kutaja jina halisi na I'd ya member humu. Tuzingatie vigezo na masharti. Kwenye ile thread ya kuaga, marehemu kaita ile I'd yake "nick name"; angependa kujulikana angetumia verified I'd.Jina lake halisi alikuwa nani vile?
Jifunze kiswahili,kazi iendelee maana yake kuna kazi inafanyika na unapiona inafanyika unapowaaga unawaambia kazi iendeleeHizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning.
Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo?
Sasa Rais anasema ziendeleeee.
Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani?
Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.