Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Sifa ya limshangazi lizuriii liwe na miwayaaaaaTupe connection hizo za Mishangazi mkuu
Sifa ya limshangazi lizuriii liwe na miwayaaaaaTupe connection hizo za Mishangazi mkuu
Nilienda msasani kupanga, tullikua mtu 3, mimi na madalali wawili.
Tumefika jamaa wakafungua mlango wa chumba, tukaingia, dalali mmoja akaenda straight mpaka dirishani akasimama akawa hasogei hata kidogo, chumba kizuri tu, lakini nikaona kama kuna kitu nazuiwa nisifanye na hao Dalaliz.
Kila nikitaka kusogea dirishani nifungue kuchungulia mazingira ya nje, kama nazuiwa, kila nikitaka kupiga movement naona kama wanazugazuga wananizuia.
Nikaona poa, nikazuga zuga halafu kwa speed nikasogea dirishani nikafungua nakutana na misalaba kama yooote, kumbe ni makaburi, yaani ukiwa ndani ukanyoosha mkono unashika misalaba.
Kuwaangalia madalali wanacheka nimewastukia
Kuishi jirani na makaburii hakuna ubaya wowoteeeeIkawaje mkuu?
Mi ningewazabua hata vibao 🤣
Unaweza kuzagamua mkuu ..pumzi unayo ya kutosha...🐮🐮🐷🐷Tupe connection hizo za Mishangazi mkuu
Ile sio jirani.Kwaio LILIKUA eneo jirani na makaburini..
Ahahahah.Kama hapo ni kwako umejipata master
Kama hapo ni kwako umejipata master
Madalali jau sana mi huwa silipi ya kuendea hadi nikiridhika na nyumba labda kama Kuna nauli sawa na huwa Nina usafiri so tunatumia kwenda
Hakika maana makaburini Kuna nafsi ambazo zina hangaika still hazija settledMkuu usijaribu 😂 😂
Utakuwa unapata nightmares kila siku
Sio bange Ni bangiHakika maana makaburini Kuna nafsi ambazo zina hangaika still hazija settled
Kwaio naunga mkono hoja kuwa Kuna kua na nightmare za Kila aina dawa ni kula bange na pombe maana majini na wachawi huwadharau walevii na wavuta bangeee
Kama upo vizur karib kwenye ulimwengu wa mishangazi ....🐸🐸🐸Pumzi ipo mkuu shida ni ule ugonjwa wa kisasa tu
Mambo mengine yote yanawezekana 😂
Ayaaaaa 🤣 tuma salamuu kwa watu watatu.Sio bange Ni bangi
Yani ukilala hapo majamaa (wafu) wanakuja kukusalimia usiku😃Nilienda msasani kupanga, tullikua mtu 3, mimi na madalali wawili.
Tumefika jamaa wakafungua mlango wa chumba, tukaingia, dalali mmoja akaenda straight mpaka dirishani akasimama akawa hasogei hata kidogo, chumba kizuri tu, lakini nikaona kama kuna kitu nazuiwa nisifanye na hao Dalaliz.
Kila nikitaka kusogea dirishani nifungue kuchungulia mazingira ya nje, kama nazuiwa, kila nikitaka kupiga movement naona kama wanazugazuga wananizuia.
Nikaona poa, nikazuga zuga halafu kwa speed nikasogea dirishani nikafungua nakutana na misalaba kama yooote, kumbe ni makaburi, yaani ukiwa ndani ukanyoosha mkono unashika misalaba.
Kuwaangalia madalali wanacheka nimewastukia
PIA SOMA
![]()
Wadada wa jf wamejipata wote mkuu na ni high life alikuwa amebaki Marry Diana ila nae kajipata Sasa yuko front seat kampeni za ccmHahahaha hapa sio kwangu mkuu
Geto langu nikilipost humu wadada wa JF watataka kuja kupiga picha 😂
Akiamka anaona Mali zake zote anavuta shuka anaendelea kupumzikaAhahahah.
Akimaliza kuangalia TV anairudisha ndani ya box!! 😂😂
Amna mkuu ila tu nili wrong houseAu ilikuwa uswahilini mkuu 😀😀
Kwa niaba ya Dr am 4 real PhD napenda kutuma salamu kwa watu wa tatu Ni kianza na BICHWA KOMWE - na pili Ni cocastic na wa mwisho Ni Muimba SINGELIAyaaaaa 🤣 tuma salamuu kwa watu watatu.