Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, Nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.
kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.
CPU, Hapo kwenye red sometimes inakuwa utata mkuuAkina dada hawapendi usafiri ambao kupanda kwake tu unatumia mabavu
Wanapenda usafiri tulivu usio na kelele za makonda na madereva
Wanapenda wakisafiri wawe wana-relax hata ktk ukaaji ingawaje unaweza usi-relax ktk pikipiki lakin ni usafiri fast usio na bughudha za misongamano na abiria wengine
Akina dada hawapendi kusafiki ktk vyombo ambavyo akifika kazin anakuwa shaghara-baghala kama vile katoka uvunguni
CPU, Hapo kwenye red sometimes inakuwa utata mkuu
Kuna dada aliniambia kwa usafiri huo huwa wako salama zaidi na majaribu, a.k.a kutongozwa tongozwa, kuliko wakitumia taxi
Kwahiyo njia za mashimo shimo kama kimara inakuwa poa sana eee!
Kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, Nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.
Desidii, Inamaana wao tu ndio wanajua kubana matumizi! kuliko wanaume?