Ni kewli kina dada wanapenda pikipiki?

Ni kewli kina dada wanapenda pikipiki?

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, Nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.
 
Kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, Nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.

Wanapenda kuziendesha au wanapenda kupakizwa mkuu.
 
Hizi style mpya nahisi, si unajua vipya vinavyokuwa vitamu mpaka basi.
kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.
 
Kupanda pikipiki Raha bwana hasa dereva akiwa anakurusha rusha.
 
Akina dada hawapendi usafiri ambao kupanda kwake tu unatumia mabavu
Wanapenda usafiri tulivu usio na kelele za makonda na madereva
Wanapenda wakisafiri wawe wana-relax hata ktk ukaaji ingawaje unaweza usi-relax ktk pikipiki lakin ni usafiri fast usio na bughudha za misongamano na abiria wengine
Akina dada hawapendi kusafiki ktk vyombo ambavyo akifika kazin anakuwa shaghara-baghala kama vile katoka uvunguni
 
CPU, Hapo kwenye red sometimes inakuwa utata mkuu
 
Pikipiki na bajaj zote abiria hukaa nyuma, na nyuma kuna raha yake

Mbona wanapokata tiketi pale ubungo utasikia sitaki siti ya nyuma, nikatie ya katikati au mbele ila sio mbele saana Au ki mombasa mombasa mkuu?
 
Kuna dada aliniambia kwa usafiri huo huwa wako salama zaidi na majaribu, a.k.a kutongozwa tongozwa, kuliko wakitumia taxi
 
Hasa ktk pikipiki aina ya HONDA
HA HA HA HA HA

Honda, si ndio zile zimekwenda juu sana! halafu anamshika/kumbatia kijana wa watu kwa uchokozi teh teh teh
 
Wanaepuka gharama bwana sasa kama unalipa 500 kwa bajaji ukichukua tax ni 3000 wewe utachukua nini??
 
Kuna dada aliniambia kwa usafiri huo huwa wako salama zaidi na majaribu, a.k.a kutongozwa tongozwa, kuliko wakitumia taxi

Lakini mbona wanatongozwa sana kwenye foleni za Dar wawapo wanaendesha mikoko yao? Kwa ishara tu huwa wanalazimika kutoa namba zao za simu...........basi tena!!!!!!!
 
Wanaepuka gharama bwana sasa kama unalipa 500 kwa bajaji ukichukua tax ni 3000 wewe utachukua nini??

Desidii, Inamaana wao tu ndio wanajua kubana matumizi! kuliko wanaume?
 
Kama ni kweli kwanini wadada wengi wanapenda huu usafiri? Pikipiki na bajaji, Nini kimejificha nyuma ya huu usafiri.

I see ni kweli akina dada wanapenda sana huu usafiri angalia barabarani.

Juzi kati nilikuwa namiahadi na mrembo aje tip top akasema hawezi panda daladala mtu mzima nikamwaambia isiwe tabu kamata mkebe dah alivyo shuka kituoni akakamata tuktuk kumbe hakujua mm nimesimama kituoni hapo hapo basi alivyo panda kufika eneo la tukio akawa anapiga cmu nikalipe pesa ya tax anasema mwenye tax yupo nje anasubili 15000 nikamwambia subiri nakuja kufika nikamwambia yaani kutoka kituoni mpaka hapa ni bei hiyo? akasema aaah nimekuja na tax nikamwambia nimeona umepanda tuktuk
 
Back
Top Bottom