Ni kiasi gani cha pesa ukikipata unaweza kusema umetoboa kimaisha?

Ni kiasi gani cha pesa ukikipata unaweza kusema umetoboa kimaisha?

Kama mawazo yangu yanavyosema chochote kikubwa ni kukifanyia mipango ya kujenga kikubwa fanya kile moyo unapenda kikubwa uwe na amani na furaha yaani
 
Ukiaongelea kutoboa kimaisha unamaanisha kufanikiwa "kuwin" maisha?

Sidhani kama hata ukipewa million 100 utakuwa umeyawin maisha. Kuwin maisha hapategemei hela ingekuwa ni hivyo wanaopiga bingo za jackpot nk wangekuwa hawasumbuki na maisha tena.

Ili kuwin maisha unahitaji investments ambazo zimeweza kujisimamia zenyewe na sio hela.
Umemaliza kila kitu.

Mwenye masikio na Asikie
 
Siku nikipata laki tano tu basi nimetoboa maisha.
Maana nina plan za biashara tano za laki moja moja.
 
Back
Top Bottom