Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,054
buku jero
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jidanganye tuHamna hela inayoridhisha, hata wakina bilgets wana mihela balaa ila wanazisaka kama hawajazipata vile, no matter una pesa kiasi gani to be happy is what matters
ElaborateJidanganye tu
Habari ya humu wanajukwaa,
Kwangu mim kiasi ambacho nitaona nimetoboa kimaisha ni milioni 30 na kuendelea.
Umemaliza kila kitu.Ukiaongelea kutoboa kimaisha unamaanisha kufanikiwa "kuwin" maisha?
Sidhani kama hata ukipewa million 100 utakuwa umeyawin maisha. Kuwin maisha hapategemei hela ingekuwa ni hivyo wanaopiga bingo za jackpot nk wangekuwa hawasumbuki na maisha tena.
Ili kuwin maisha unahitaji investments ambazo zimeweza kujisimamia zenyewe na sio hela.
Ela za kubet zina mikosi