Wanawake Wanasemaga "nina Msukuma wangu" 🤣🤣🤣Kama zezeta vile nikamwambia chukua unazotaka. Akachukua laki tano huku roho inaniuma kishenzi dah! 😭😭😭
View attachment 3291317
Ndiyo maana hiyo pesa hata dume moja la ng'ombe hazifikii. Sasa kama nina ng'ombe 300+ kule Mpanda kuna shida gani? Maisha ni haya haya hakuna mengine. Bagosha!Wanawake Wanasemaga "nina Msukuma wangu" 🤣🤣🤣
Sawa babuNdiyo maana hiyo pesa hata dume moja la ng'ombe hazifikii. Sasa kana nina ng'ombe 300+ kule Mpanda kuna shida gani? Maisha ni haya haya!
Ungerudisha muamalaNilikosea nikatuma 500,000badala ya 50,000.nililia sana
Ni umejaaliwa ngozi nyeusi tu au na mtalimbo unao? Pesa na Okra=🚮Mwanaume kuhonga kawaida, sharti uhonge vichenji vinavobaki baada ya hesabu.View attachment 3291330
Hii ni kwa ajili ya kusafirisha mali toka mkoani kesho asubuhi sana
Mbona makasiriko madam 😂Ni umejaaliwa ngozi nyeusi tu au na mtalimbo unao? Pesa na Okra=🚮
Au Ulikuwa unapiga vyombo mkuuNilikosea nikatuma 500,000badala ya 50,000.nililia sana