Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Kwanzia tulivyoachana wengine nawapaga 10k-30k 🤣 sizidishi
Hii ndio bei elekezi tuliyokubaliana kwenye kikao chetu. Cha ajabu jana kuna lofa kaleta uzi humu simkumbuki jina anasema kahonga kodi 300,000 nikashindwa kumuelewa 🤨
 
Back
Top Bottom