Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Nauli ya tabora to tarime, uzinzi na umasikini ni kurwa na doto manina.
 
umasikini unasingiziwa vingi sana 😅 sa masikini atahonga vipi na hana hela?
Uzinzi unaghalama sana boss kama unabisha bisha tu lbda kama unatumia pesa za kifisadi unachota tu, lkn kama ni mpambanaji na bado unapambana kuzivua chupi round ni chache tu unaondoka mchezoni
 
Uzinzi unaghalama sana boss kama unabisha bisha tu lbda kama unatumia pesa za kifisadi unachota tu, lkn kama ni mpambanaji na bado unapambana kuzivua chupi round ni chache tu unaondoka mchezoni
Kanuni ni moja tu, usitumie zaidi ya unachoingiza
 
Comments zinachekesha mno, ila kuna watu sijaona comments zao nithibitishe. Lol
😂😂😂😂😂
 
mimi sikuhonga kwa pamoja, nilikuwa na 1.2m wazo ilikuwa kuweka tiles kwenye kachumba kangu,sijui yule kenge alikuja vipi. ile fedha yote iliishia kumfurahisha yeye mbaya zaidi hadi kesho ananikubali balaa ila mimi namkwepa na moyo unaniuma sana hadi leo.
 
Back
Top Bottom