Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Wohi msukuma umefinyiwa!!! hukuzimia kweli? 😹😹

20250403_092307.png
 
Basi na mimi ngoja nitafute msukuma wa kumfinyia siku ya birthday yake 😹😹
Ukikosa usihangaike nipo aisee...ila seriously ile kitu ni hatari ukibahatisha mtaalamu. Baada ya hapo nilimwambia hata zile zilizobaki azichukue tu. Aliongezea laki moja zingine akaniachia eti nitanywea supu ili kurudisha nguvu 😂
 
Nilikosea nikatuma 500,000badala ya 50,000.nililia sana
Jana nili wrong nikatuma 20k kwenye namba ya best mmoja wa kike DU nikatamani nimpigie airudishe akanambia pesa ime kombwa na mkopo alikua anadaiwaa..

Aibu Sana kuomba refund kwa mdada..😆 kisa ilikua ni apps nilituma Ile kushangaa nime wrong number..nilikua busy sanaa Nika angalia watu nilio watumis pesa recent list ndio ikawa ivyoo..

Of course 20k yangu iliniumaa jioni ya Jana kwaio nikampotezea.. akasema amefurahi kula pesa ya Mimi kaka yake 😔

Ikabidi nitumie Tena 20k kwa mtu nilie mkusudia..
 
Acha kujiliza ndo uanaume huo 😹
 
Nishasomesha mtu mmoja.

Nishalipia watu mbalimbali kodi.

Sioni ujanja hata kwakua kodi zenyewe ni hizi za master bedroom za Tabata, Kinondoni n.k.
 
Acha kujiliza ndo uanaume huo 😹
Sikua na mpango wa kumtumia nilituma kwa bahati mbaya Ile kuthibitisha muamala..lahaula kumbe nimemtumia wrong person.

Sasa unaanzaje kumtumia pesa mwanamke kwa bahati mbaya na ukamwomba refund akakubali kurejesha mpunga 🏃🏃🏃🏃

Akasema pesa imekombwa ANADAIWA song ESHA 😔
 
Dollar nyokoooo. Ukideposit dollar mie ninyongwe
Naomba wanyongaji njooni pls, mnyongeni mzabzab mpk kibamia chake 😹😹😹
min -me ninyongee huyu kiumbe au km una mnyongaji mzuri niitie..!

We Mr kibamia mzigo huo hapo nimetoka kudeposit muda sio mrefu, siongei kufurahisha kijiwe mimi 🤣
 
Attachments

  • IMG_4840.jpeg
    IMG_4840.jpeg
    565.4 KB · Views: 16
Sikua na mpango wa kumtumia nilituma kwa bahati mbaya Ile kuthibitisha muamala..lahaula kumbe nimemtumia wrong person.

Sasa unaanzaje kumtumia pesa mwanamke kwa bahati mbaya na ukamwomba refund akakubali kurejesha mpunga 🏃🏃🏃🏃

Akasema pesa imekombwa ANADAIWA song ESHA 😔
Ndio ungeanza mtongozo hapo unafeli wapi kaka 😹😹
 
Back
Top Bottom