Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Kama utani vile nikamwambia chukua unazotaka. Akachukua laki tano keshi huku roho inaniuma kishenzi dah! 😭😭😭
View attachment 3291317
Mkuu, Mbona wewe ndo ulibaki na pesa nyingi!
Naona ukaamua kujidunga na panadol baada ya homa kupanda😁