Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 4,319
- 7,485
Nimetoka kulipia 2.4m ya mswaki wa engine ya Gari ya chepuka usiku huu.
Nimetoka kulipia 2.4m ya mswaki wa engine ya Gari ya chepuka usiku huu.
Wanawake mkishaona pesa tuu tuu tayari maharuani yanapandaNi umejaaliwa ngozi nyeusi tu au na mtalimbo unao? Pesa na Okra=🚮
Alikua mzuri!?mimi sikuhonga kwa pamoja, nilikuwa na 1.2m wazo ilikuwa kuweka tiles kwenye kachumba kangu,sijui yule kenge alikuja vipi. ile fedha yote iliishia kumfurahisha yeye mbaya zaidi hadi kesho ananikubali balaa ila mimi namkwepa na moyo unaniuma sana hadi leo.
Sio uchungu siwezi honga mamilioni wakati kuna mwanaume kamtafuna bure kabisa
Bora nimpe vihela vidogo dogo tu
I'm not a simp
Mkuu ata mwaka hatujamaliza huu ni mwezi wa nne pole sanaNishahonga sana mpaka nikastaafu, 200k, 300k n.k, ila pombe ndiyo naihonga zaidi mwaka huu almost 3 million zimeenda baa!
Ohh Lord, save me🙏
Kwani wewe umewahi kuhongwa kiasi gani japo haya ni mambo yako binafsi usingekuwa limbukeeni?
Ndiyo uhai wenyewe mkuuWanawake mkishaona pesa tuu tuu tayari maharuani yanapanda
Hamna shida kaka....huyu kenga na huyo panya wote lolote baya liwakuteMkuu, kwenye haya maombi yako unganisha na panya nyingine ilikula 60k yangu siku nataka kuila ikanambia imeolewa.
Mbusus yenyewe inaanza kulowanaNdiyo uhai wenyewe mkuu
Jamani hiyo si pesa ya weaving tena low budget 😜400k....iliniuma sana ile hela. Kenge yule kokote alipo lolote baya limkute
Wewe utakua mchawi sio bure 😹Mm niliwahi kuhonga jero ya vocha, bc kila muda namchatisha na muda mwngn namwambia anipigie ili kifurushi alichonunua kiishie kwangu
Hapo ilitakiwa akuachie elfu 5 ya chakula mchana, au angechukua tu zote pesa ya kula utatafuta we mwanaume huwezi kukosa..!! 😹😹Kama utani vile nikamwambia chukua unazotaka. Akachukua laki tano keshi huku roho inaniuma kishenzi dah! 😭😭😭
View attachment 3291317
Ankari hiyo ni 7B views sio 78
Haki ya nani hufai hata kwa kurumangia. Ila nashukuru angalau alinifinyia kwa ndani. Na ilikuwa mara yangu ya kwanza. Kwa hiyo tunaweza kusema kuwa hiyo laki tano ilienda kihalali 😂😂😂Hapo ilitakiwa akuachie elfu 5 ya chakula mchana, au angechukua tu zote pesa ya kula utatafuta we mwanaume huwezi kukosa..!! 😹😹
Inasikitisha sana mkuuWewe utakua mchawi sio bure 😹
AmeenHamna shida kaka....huyu kenga na huyo panya wote lolote baya liwakute
Naomba niwe refa wenu 😹Mbona makasiriko madam 😂
fanya kuitisha friendly
Wohi msukuma umefinyiwa!!! hukuzimia kweli? 😹😹Haki ya nani hufai hata kwa kurumangia. Ila nashukuru angalau alinifinyia kwa ndani. Na ilikuwa mara yangu ya kwanza. Kwa hiyo tunaweza kusema kuwa hiyo laki tano ilienda kihalali 😂😂😂
Hakika aiseeMbusus yenyewe inaanza kulowana