Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

Chinno wangu 😘💋

Mzee wa kuibuka, haya Ulifichwa wapi?
Wewe nakuacha soon, toka Eid hujaonekana sijui mshangazi gani ulikuficha 😹🤣🤣
Yani nichukue vits niache Mercedes benz

Chino hawezi bila wewe umempa upofu
wa moyo jicho la nazi kwako sioni.
 
Yani nichukue vits niache Mercedes benz

Chino hawezi bila wewe umempa upofu
wa moyo jicho la nazi kwako sioni.
Ah, jamani mwizi moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia
Maana uchizi si' uchizi, nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, kwa Chinno nimepaliwa 😍😍🥰😘💋
 
Mama nizawadie basi😊☺️
Naomba wanyongaji njooni pls, mnyongeni mzabzab mpk kibamia chake 😹😹😹
min -me ninyongee huyu kiumbe au km una mnyongaji mzuri niitie..!

We Mr kibamia mzigo huo hapo nimetoka kudeposit muda sio mrefu, siongei kufurahisha kijiwe mimi 🤣
 
Back
Top Bottom