Ni kichaa tu anayeweza kutekeleza tishio la kutumia nyuklia: Sikioni kichaa hicho kwa TRUMP

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!!

Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia silaha za nyuklia dhidi ya taifa lenye silaha za nyuklia, kwa kufanya hivyo utakuwa unaiangamiza nchi yako.
 
DT
 
Attachments

  • IMG_20250803_230536_836.jpg
    IMG_20250803_230536_836.jpg
    15.9 KB · Views: 37
Urusi toka enzi za SOVIET INA mfumo uitwao DEAD HAND AUTOMATIC RETARIATION SYSTEAM! Mfumo huu unahakikisha pasipo shaka kuwa yeyote atakayeilenga Urusi kwa mabomu ya nyuklia, hawezi kutokà salama!! Mfumo una hatua mbili: 1. Unatambua shambulizi LA nyuklia lililoelekezwa Urusi Mara tu linaporushwa! Hivyo kurusha makombora ya nyuklia kuelekea nchi hiyo!!. 2. Hata kama ikatokea kuwa Urusi imewahiwa kupigwa Bomu LA nyuklia na watu wote wameuawa, mfumo bado una uwezo wa kurusha makombora ya nyuklia kuelekea nchi ya adui kwa maangamizi makubwa!!
 
Wengine hatuamini hadi tuone. Miaka ya nyuma mlituaminisha kuwa Marekani na Urusi wana defense systems ambazo hata kijiwe cha manati kinatunguliwa, baada ya kuanza mgogoro wa Ukraine ndipo tumejua ukweli ulivyo.
 
Sasa wewe unachobisha ni kua Urusi hawana huo mfumo?
Au unachobisha ni effective ness yake?
Mtoa mada amesema Urusi Wana huo mfumo,Sasa wewe ukitaka kuprove uwezo wa huo mfumo kawaulize warusi wenyewe.
Haya mambo ya vijiweni uliyoaminishwa achana nayo.
Kama ni mifumo ya kujilinda wote wanayo,west na east.
Shida ya sisi Watanzania ni kupinga na kukosoa Kila kitu wakati hata sindano TU hatuwezi kutengeneza

Encyclopedia Britannica

Ask the ChatbotGames & QuizzesHistory & SocietyScience & TechBiographiesAnimals & NatureGeography & TravelArts & CultureProConMoneyVideos

World HistoryWars, Battles & Armed Conflicts

doomsday machine​

nuclear device

Written and fact-checked by

Article History

doomsday machine, hypothetical device that would automatically trigger the nuclear destruction of an aggressor country or the extinction of all life on Earth in the event of a nuclear attack on the country maintaining the device. The former type of device might automatically launch a large number of ICBMs (intercontinental ballistic missiles) when it detected a nuclear explosion or an imminent nuclear attack, whereas the latter might detonate several very large thermonuclear bombs that were specially designed to produce great amounts of long-lasting radioactive fallout. Because the aggressor country’s annihilation would in either case be guaranteed, the doomsday machine was viewed as the ultimate nuclear deterrent. The concept was developed by the American nuclear physicist Herman Kahn and discussed in his book On
 
Pengine sikueleweka. Ninachotilia mashaka ni uhalisia wa kile kinachoelezwa kuhusu uwezo wa hizo silaha. Marekani na Urusi pamoja na kuwa na silaha kubwa na hatari lakini pia Propaganda ni kubwa sana.

Bahati mbaya wengi sisi tunajiaminisha kwa kila kinachozungumzwa na hawa wakubwa. Tuna mahaba . Ndio maana hata wewe naona umenijia kwa hasira kabisa ukihisi ninapinga uwezo wa nuclear wa Urusi
 
Pengine sikueleweka. Ninachotilia mashaka ni uhalisia wa kile kinachoelezwa kuhusu uwezo wa hizo silaha. Marekani na Urusi pamoja na kuwa na silaha kubwa na hatari lakini pia Propaganda ni kubwa sana.

Bahati mbaya wengi sisi tunajiaminisha kwa kila kinachozungumzwa na hawa wakubwa. Tuna mahaba . Ndio maana hata wewe naona umenijia kwa hasira kabisa ukihisi ninapinga uwezo wa nuclear wa Urusi

Wengine hatuamini hadi tuone. Miaka ya nyuma mlituaminisha kuwa Marekani na Urusi wana defense systems ambazo hata kijiwe cha manati kinatunguliwa, baada ya kuanza mgogoro wa Ukraine ndipo tumejua ukweli ulivyo.

Kwani sio kweli Marekani Wana ADS?

Hiyo habari ya hata kijiwe Cha manati kinatunguliwa na ADS za USA na Urusi ni maneno ya vijiweni.

Iko hivi ndugu.
Wanasayansi wa nchi zinazogundua silaha mfano wa Hizo ADS wanakua wamefanya tafiti na kutengeneza ADS ambazo hazipenyeki kwa WAKATI huo,
Lakini baada ya muda Fulani wanasayansi wa nchi pinzani nao hufanya tafiti ya silaha zinazoqeza kuzishinda au kuzipenya silaha za adui.

Ndio maana miaka hii Kuna Hypersonic kwa upande wa Urusi.
Haya yote ndio tunaita mashindano ya kutengeneza silaha Kali duniani.

Sasa wewe unachopingq ni Nini?

Ni kua Urusi au USA hawana hizo silaha?
Au
Hizo silaha sio effective?

Kwa sababu Urusi huo mfumo wa Dead hand ni kweli anao,na USA mifumo ya ulinzi wa anga ni kweli anayo.
Je wewe Mtanzania mwenzangu, huamini utendaji kazi wa mifumo hiyo?
 
Back
Top Bottom