Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
- Thread starter
-
- #21
Hahahahahahahaha aisee kwanza ilikuwaje kuwaje mpaka ukang'amua sukari guru ,MKUU ULIFIKIRI NINI AU NI KIPI KILICHOKUPELEKEA KUFANYA HIVYO.Mwaka 2002 ulikuwa na miaka?????anyway nakumbuka niliiba sukari guru dukani kwa mrangi nikaiviringisha kwenye kaptura...bahat mbaya ikadondoka nikiwa bado pale dukani!kilichofuata.......mpaka leo mkono wangu wa kushoto hauko sawasawa.
Hahahaha mkuu aisee mi mwenyewe nilikuwaga na hako kamtindo ka kwenda kuogelea almanusura nife maji mpaka leo naogopa kuogelea.Aseee kuna siku nilienda kuogelea kwenye bwawa la maji ya mvua (wale wa kijijini watanielewa, dimbwi), nilitokaa nyumbani asubuhi nikarudi saa kumi hv nikiwa nimepauka.
Nilifungwa kamba wacha nichezea kipigo kitakatifu, hadi leo naogopa kuogelea.
Hahahahaha Uncle wenzako wanayaminyaminya we unayadandia kabisa! Hahahahahahahaaa duh aisee uncle umenichekesha sana.Duu kisa changu siwezi kukisema kilikua cha beki tatu wakati ndio sijui nabalehe .....aloooo! yule mzee alipiga bana !
Nilikua naskia kwamba ukimshika mwanamke maziwa analegea ,nilitoka speed kama ngiri nikaning'inia kwenye maziwa ya beki tatu nikijua namlegeza kumbe namuumiza ,alinisemea bana maana ilibidi apelekwe hospital hicho kipigo sitokaa nikisahau
Mjomba mpaka kuja kujua ni kuyaminyaminya sio kuyavamia ni kutokana na hicho kichapo cha mshua ,ila nashukuru pia kwa kichapo kile kilinifanya niwe mdadisi badala ya kuvamia mambo nafikiria kwanza ,kumbe kazi hiyo ya miguvu ulimi tu ulitosha kumaliza kaziHahahahaha Uncle wenzako wanayaminyaminya we unayadandia kabisa! Hahahahahahahaaa duh aisee uncle umenichekesha sana.
Hahahahahaha umenifurahisha hutaki hata kuadithia alichokufanya zaidi ya kusema matokeoMwaka 2002 ulikuwa na miaka?????anyway nakumbuka niliiba sukari guru dukani kwa mrangi nikaiviringisha kwenye kaptura...bahat mbaya ikadondoka nikiwa bado pale dukani!kilichofuata.......mpaka leo mkono wangu wa kushoto hauko sawasawa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] UncleBenDuu kisa changu siwezi kukisema kilikua cha beki tatu wakati ndio sijui nabalehe .....aloooo! yule mzee alipiga bana !
Nilikua naskia kwamba ukimshika mwanamke maziwa analegea ,nilitoka speed kama ngiri nikaning'inia kwenye maziwa ya beki tatu nikijua namlegeza kumbe namuumiza ,alinisemea bana maana ilibidi apelekwe hospital hicho kipigo sitokaa nikisahau
Acha umenifurahisha sana hahahah. Ukajiona fundi kumbe unaharibu hahaha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha tu ndugu yangu Th Name
Haki ya mama yule bidada angekua ana presha ningemuua siku ile maana alikua anaoga bafuni mimi ndio nikachukulia advantage nilizama kichwa kichwa kwa speed ya ajabuAcha umenifurahisha sana hahahah. Ukajiona fundi kumbe unaharibu hahaha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utoto una mengi sana.Haki ya mama yule bidada angekua ana presha ningemuua siku ile maana alikua anaoga bafuni mimi ndio nikachukulia advantage nilizama kichwa kichwa kwa speed ya ajabu
Najikuta mjanja kumbe ndio hivyo bonge la fala yaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hapo tu uliponing'iniaDuu kisa changu siwezi kukisema kilikua cha beki tatu wakati ndio sijui nabalehe .....aloooo! yule mzee alipiga bana !
Nilikua naskia kwamba ukimshika mwanamke maziwa analegea ,nilitoka speed kama ngiri nikaning'inia kwenye maziwa ya beki tatu nikijua namlegeza kumbe namuumiza ,alinisemea bana maana ilibidi apelekwe hospital hicho kipigo sitokaa nikisahau
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hapo tu uliponing'inia
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...nakumbuka nikiwa darasala nne mama alikuwa natabia ananunua pipi nyingi kila akienda sokoni anatupa na nyingine anahifadhi kwenye kamkoba chake anaweka kwenye droo ili ukifanya vizuri kazi au shuleni anakupa pipi kama pongezi, sasa mimi nikawa naenda kuiba mama akawa anajua,,... nikaanza tabia ya kuzifungua nazinyonya narudisha kwa zamu maza akiuliza mbona hizi pipi zinaloa anakosa jibu.. sku hiyo akawa kama anahisi jambo haliko sawa nikaingia kama kawaida chumbani kwa mama ile kufungua mkoba wake nikavunja kifungo cha mkoba nikaanza kazi ya kuzinyonya kwa zamu na kurudishia kumbe mama yupo dirishani anasoma mchezo ..jamani nilifungiwa mule chumbani kama mtu anajua fimbo za mueleimu alikata nyingi milipigwa kama kibaka kuanzia sa kumi mpaka sa moja mdingi aliporudi nakukuta madogo wanalia mlangoni ndiyo pona yangu.. mpaka leo yale mapipi nikiyaona hamu sinaga nayo
Ndugu nilipigwa acha tu,nilipigwa mpaka nikaiva mwili wote, nilibaki na alama nyeusi za fimbo mwili mzima, halafu dogo mwenyewe kwa sasa ana nyodo balaa.Yaani ndugu stori yako na yangu zinafanana kabisa, tofauti ni kwamba wewe ulikula double kisago akati mie nilikula single kisago kutoka kwa mwana maza.
Uncle kumbe una vituko,, HahahaaaaHaki ya mama yule bidada angekua ana presha ningemuua siku ile maana alikua anaoga bafuni mimi ndio nikachukulia advantage nilizama kichwa kichwa kwa speed ya ajabu
Najikuta mjanja kumbe ndio hivyo bonge la fala yaani
Hahaha acha tu mpwa wanguUncle kumbe una vituko,, Hahahaaaa
hahaha, pole sana ase. Dogo mkanye tuuNdugu nilipigwa acha tu,nilipigwa mpaka nikaiva mwili wote, nilibaki na alama nyeusi za fimbo mwili mzima, halafu dogo mwenyewe kwa sasa ana nyodo balaa.