Ni kichapo gani ulichokipokea kutoka kwa wazazi enzi za utoto wako ambacho hautokisahau?

Ni kichapo gani ulichokipokea kutoka kwa wazazi enzi za utoto wako ambacho hautokisahau?

Mwaka 2002 ulikuwa na miaka?????anyway nakumbuka niliiba sukari guru dukani kwa mrangi nikaiviringisha kwenye kaptura...bahat mbaya ikadondoka nikiwa bado pale dukani!kilichofuata.......mpaka leo mkono wangu wa kushoto hauko sawasawa.
Hahahahahahahaha aisee kwanza ilikuwaje kuwaje mpaka ukang'amua sukari guru ,MKUU ULIFIKIRI NINI AU NI KIPI KILICHOKUPELEKEA KUFANYA HIVYO.
 
Aseee kuna siku nilienda kuogelea kwenye bwawa la maji ya mvua (wale wa kijijini watanielewa, dimbwi), nilitokaa nyumbani asubuhi nikarudi saa kumi hv nikiwa nimepauka.
Nilifungwa kamba wacha nichezea kipigo kitakatifu, hadi leo naogopa kuogelea.
Hahahaha mkuu aisee mi mwenyewe nilikuwaga na hako kamtindo ka kwenda kuogelea almanusura nife maji mpaka leo naogopa kuogelea.
 
Duu kisa changu siwezi kukisema kilikua cha beki tatu wakati ndio sijui nabalehe .....aloooo! yule mzee alipiga bana !

Nilikua naskia kwamba ukimshika mwanamke maziwa analegea ,nilitoka speed kama ngiri nikaning'inia kwenye maziwa ya beki tatu nikijua namlegeza kumbe namuumiza ,alinisemea bana maana ilibidi apelekwe hospital hicho kipigo sitokaa nikisahau
Hahahahaha Uncle wenzako wanayaminyaminya we unayadandia kabisa! Hahahahahahahaaa duh aisee uncle umenichekesha sana.
 
Hahahahaha Uncle wenzako wanayaminyaminya we unayadandia kabisa! Hahahahahahahaaa duh aisee uncle umenichekesha sana.
Mjomba mpaka kuja kujua ni kuyaminyaminya sio kuyavamia ni kutokana na hicho kichapo cha mshua ,ila nashukuru pia kwa kichapo kile kilinifanya niwe mdadisi badala ya kuvamia mambo nafikiria kwanza ,kumbe kazi hiyo ya miguvu ulimi tu ulitosha kumaliza kazi
 
Mwaka 2002 ulikuwa na miaka?????anyway nakumbuka niliiba sukari guru dukani kwa mrangi nikaiviringisha kwenye kaptura...bahat mbaya ikadondoka nikiwa bado pale dukani!kilichofuata.......mpaka leo mkono wangu wa kushoto hauko sawasawa.
Hahahahahaha umenifurahisha hutaki hata kuadithia alichokufanya zaidi ya kusema matokeo
 
Duu kisa changu siwezi kukisema kilikua cha beki tatu wakati ndio sijui nabalehe .....aloooo! yule mzee alipiga bana !

Nilikua naskia kwamba ukimshika mwanamke maziwa analegea ,nilitoka speed kama ngiri nikaning'inia kwenye maziwa ya beki tatu nikijua namlegeza kumbe namuumiza ,alinisemea bana maana ilibidi apelekwe hospital hicho kipigo sitokaa nikisahau
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] UncleBen
 
Haki ya mama yule bidada angekua ana presha ningemuua siku ile maana alikua anaoga bafuni mimi ndio nikachukulia advantage nilizama kichwa kichwa kwa speed ya ajabu

Najikuta mjanja kumbe ndio hivyo bonge la fala yaani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utoto una mengi sana.
Ukaona Leo ndio zamu uone kweli atalegea huyu mtu hahahh
 
Duu kisa changu siwezi kukisema kilikua cha beki tatu wakati ndio sijui nabalehe .....aloooo! yule mzee alipiga bana !

Nilikua naskia kwamba ukimshika mwanamke maziwa analegea ,nilitoka speed kama ngiri nikaning'inia kwenye maziwa ya beki tatu nikijua namlegeza kumbe namuumiza ,alinisemea bana maana ilibidi apelekwe hospital hicho kipigo sitokaa nikisahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hapo tu uliponing'inia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hapo tu uliponing'inia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Tulikua tunakaa mjini, akaja binamu toka shamba akaniambia nimpeleke porini akawinde, tukaenda shamba. Tulipochelewa kurudi nikadanganya nlikua madrasa halafu msikitini. Siku hiyo nkajisahau nkamsimulia dada wa kazi, akamwambia baba duh mzee wa kipemba alinipa kichapo wachaaa mda huo kanifunga kwenye mti , habari niliipata
 
nakumbuka nikiwa darasala nne mama alikuwa natabia ananunua pipi nyingi kila akienda sokoni anatupa na nyingine anahifadhi kwenye kamkoba chake anaweka kwenye droo ili ukifanya vizuri kazi au shuleni anakupa pipi kama pongezi, sasa mimi nikawa naenda kuiba mama akawa anajua,,... nikaanza tabia ya kuzifungua nazinyonya narudisha kwa zamu maza akiuliza mbona hizi pipi zinaloa anakosa jibu.. sku hiyo akawa kama anahisi jambo haliko sawa nikaingia kama kawaida chumbani kwa mama ile kufungua mkoba wake nikavunja kifungo cha mkoba nikaanza kazi ya kuzinyonya kwa zamu na kurudishia kumbe mama yupo dirishani anasoma mchezo ..jamani nilifungiwa mule chumbani kama mtu anajua fimbo za mueleimu alikata nyingi milipigwa kama kibaka kuanzia sa kumi mpaka sa moja mdingi aliporudi nakukuta madogo wanalia mlangoni ndiyo pona yangu.. mpaka leo yale mapipi nikiyaona hamu sinaga nayo
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...

Eti ulipigwa kama kibaka... Uwwiii
 
Yaani ndugu stori yako na yangu zinafanana kabisa, tofauti ni kwamba wewe ulikula double kisago akati mie nilikula single kisago kutoka kwa mwana maza.
Ndugu nilipigwa acha tu,nilipigwa mpaka nikaiva mwili wote, nilibaki na alama nyeusi za fimbo mwili mzima, halafu dogo mwenyewe kwa sasa ana nyodo balaa.
 
Nakumbuka nilikuwa darasa la kwanza nilikimbiza roli la mchanga nikadandia kwa nyuma...likapiga breki ya ghafla bada ya kugundua mimi nalikimbiza, kilichonipata nikajigonga ghafla na chuma la hilo gari kwa nyuma...fizi zilivimba sana, kumbe kuna kipemba alishapeleka taarifa home[emoji23][emoji16], ile kurudi tu mama hata hakuniuliza alinivuta...akachukua waya wake mweusi nilichezea mijeredi heavy....siku ile nililia sana kwa uchungu maana baada ya hapo nilivimba balaa...ule mkong'oto ulikuwa wa kisawasawa sitousahau kamwe!! [emoji23][emoji38], nakumbuka nilikuwa nna michezo ya hatari sana maana kampani yangu ilikuwa watoto wa kiume tu.[emoji33][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom