dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Very great statement"Ni bora Slaa awe Rais kuliko Lissu kuwa mbunge" - J. Kikwete.
Najua jambo moja tu,Lissu ni mwanamageuzi wa kweliNikutaarifu tu bado unaota amka. Tundu Lisu ndiye kiumbe mpumbavu Tanzania nzima. Enzi za kikwete walipiga kelele dhini ya ujenzi wa miundombinu, wakalalamika wakisema Ni aibu nchi Haina hata ndege 1, awamu hii hawana hoja za msingi ndio maana Vita yao kubwa Ni kumtukana magufuli, kupandikiza chuki kwa wananchi. Tangu amenza kampeni sijaona pointing yeyote anaongea matusi tu. Katika kampeni zake anajaribu kuuthibitishia umma kuwa serikali haimuwezi kwamba anaijua Sheria na Yuko juu ya Sheria. Hapa Ni anagombea na ndo Yuko hivi je akiupata huo urais unadhani atabadilika? Huyu ana chuki anawaaminisha watanzania kuwa Magufuli alimpiga risasi lakini hizo Ni tuhuma hakuna mwenye uhakika nazo na cha ajabu wananchi wasio elewa kazi kupelekwa wanaamini anachosema. Juzi Mbowe alipoanguka Kama pasingekuwa na waliomuona mapema Basi mda huu nae angekuwa analalamika ameshambuliwa na watu wa Magufuli. Tukirejea mfumo wa elimu Duniani kote lazima usome nasharia Kwanza kabla ya vitendo. Kwa ufupi LIssu sio mjinga Bali mpumbavu kwani anaelewa ukweli ila anawalaghai watanzania na kuwaingiza katika Vita na serikali ili muichukie.
Bas ulimpiga wewe au tuambie Nani aliyemshambulia Lissu??Nikutaarifu tu bado unaota amka. Tundu Lisu ndiye kiumbe mpumbavu Tanzania nzima. Enzi za kikwete walipiga kelele dhini ya ujenzi wa miundombinu, wakalalamika wakisema Ni aibu nchi Haina hata ndege 1, awamu hii hawana hoja za msingi ndio maana Vita yao kubwa Ni kumtukana magufuli, kupandikiza chuki kwa wananchi.
Tangu amenza kampeni sijaona pointing yeyote anaongea matusi tu. Katika kampeni zake anajaribu kuuthibitishia umma kuwa serikali haimuwezi kwamba anaijua Sheria na Yuko juu ya Sheria.
Hapa Ni anagombea na ndo Yuko hivi je akiupata huo urais unadhani atabadilika? Huyu ana chuki anawaaminisha watanzania kuwa Magufuli alimpiga risasi lakini hizo Ni tuhuma hakuna mwenye uhakika nazo na cha ajabu wananchi wasio elewa kazi kupelekwa wanaamini anachosema.
Juzi Mbowe alipoanguka Kama pasingekuwa na waliomuona mapema Basi mda huu nae angekuwa analalamika ameshambuliwa na watu wa Magufuli.
Tukirejea mfumo wa elimu Duniani kote lazima usome nasharia Kwanza kabla ya vitendo. Kwa ufupi LIssu sio mjinga Bali mpumbavu kwani anaelewa ukweli ila anawalaghai watanzania na kuwaingiza katika Vita na serikali ili muichukie.
Wanabodi,Nguvu ya Tundu lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka ukerewe si ya kawaida tena,Ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.
Mapigo ya Tundu Lissu ukerewe ,Mapigo ya simiyu huko bariadi yatosha kusema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Ni uzalendo wetu ndani ya chama chetu cha mapinduzi ndio unatupa ganzi la moyo na ahueni huku tukijifariji lakini ,Technically Tundu lissu ana hoja na anashambulia ngome mfululizo bila aibu huku akiungwa mkono na umati ambao una uchungu na hasira kubwa.
Leo akiwa Simiyu na akinukuu wosia wa Baba wa Taifa wa mwaka 1995 kuhusu uhuru na maendeleo ya watu kwa mifano na akili kubwa hakika amenifanya nishindwe kuendelea kumchungulia kule "Youtube " anatuchezesha sindimba na Segere huku wengine wakisema Beat ya mdundo ina mikwaluzo.
Niliamini ni ndumba na uchawi unatumika ili kushawishi watu kwa maelfu kumshangilia Tundu lissu lakini nimegundua watu wanahitaji maendeleo ya mifukoni mwao yaani pesa,Anachokifanya ni kupigilia msumari wa hasira kwenye maisha na kuwatia watu uchungu unaopelekea kuambiana sera zake.
Tundu lissu alifaa kuwa professor,Doctor,Mwanahistoria na Mwanamikakati anawajaza watu nguvu na morali ya kutokukata tamaa,Anawaaminisha watu kuwa nchi hii Raia ndio mmiliki na anapaswa kupewa nguvu ya kuwasema watawala na kuwawajibisha wakikosea.
Tangu kuanza kampeni hakuna wakati au siku ambayo Tundu lissu ameshambulia ngome kwa hoja kuanzia vitambulisho vya machinga ,Afya,Mfumo wa elimu yetu ya kujaza notes,Bei za mazao,Muundo wa uongozi mpaka ajira na mishahara kama leo
Nilijua labda naota lakini nikaamua kufuatilia habari zake kwenye television tofauti za online na zile za masafa saa mbili usiku huu nikagundua haikuwa ndoto nilipokuwa nachungulia "Youtube"bali ni anagonga hoja na watu zinawaingia kwa hasira kubwa
Yote haya yanayoendelea na mashambulizi yote lakini tutashinda kwa mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi.
Tundu Lissu kwenye kuelezea historia ya nchi hii tangu ukoloni mpaka sasa namfananisha na Rais mstaafu Jakaya kikwete
Tundu lissu na Jakaya Kikwete kwenye kuelezea matukio ya nchi hii tangu uhuru kwa mifano na kusisimua ninawakubali sana
Tundu Lissu na Jakaya Kikwete wana uwezo wa kushusha nondo za nchi hii kwa kumbukumbu kubwa sana na ya kushawishi tumetoka wapi na tupo wapi
Wambie ccm wenzako sisi haya yote tunayajua ndio maana tunamuunga mkono 100%Wanabodi,Nguvu ya Tundu lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka ukerewe si ya kawaida tena,Ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.
Mapigo ya Tundu Lissu ukerewe ,Mapigo ya simiyu huko bariadi yatosha kusema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Ni uzalendo wetu ndani ya chama chetu cha mapinduzi ndio unatupa ganzi la moyo na ahueni huku tukijifariji lakini ,Technically Tundu lissu ana hoja na anashambulia ngome mfululizo bila aibu huku akiungwa mkono na umati ambao una uchungu na hasira kubwa.
Leo akiwa Simiyu na akinukuu wosia wa Baba wa Taifa wa mwaka 1995 kuhusu uhuru na maendeleo ya watu kwa mifano na akili kubwa hakika amenifanya nishindwe kuendelea kumchungulia kule "Youtube " anatuchezesha sindimba na Segere huku wengine wakisema Beat ya mdundo ina mikwaluzo.
Niliamini ni ndumba na uchawi unatumika ili kushawishi watu kwa maelfu kumshangilia Tundu lissu lakini nimegundua watu wanahitaji maendeleo ya mifukoni mwao yaani pesa,Anachokifanya ni kupigilia msumari wa hasira kwenye maisha na kuwatia watu uchungu unaopelekea kuambiana sera zake.
Tundu lissu alifaa kuwa professor,Doctor,Mwanahistoria na Mwanamikakati anawajaza watu nguvu na morali ya kutokukata tamaa,Anawaaminisha watu kuwa nchi hii Raia ndio mmiliki na anapaswa kupewa nguvu ya kuwasema watawala na kuwawajibisha wakikosea.
Tangu kuanza kampeni hakuna wakati au siku ambayo Tundu lissu ameshambulia ngome kwa hoja kuanzia vitambulisho vya machinga ,Afya,Mfumo wa elimu yetu ya kujaza notes,Bei za mazao,Muundo wa uongozi mpaka ajira na mishahara kama leo
Nilijua labda naota lakini nikaamua kufuatilia habari zake kwenye television tofauti za online na zile za masafa saa mbili usiku huu nikagundua haikuwa ndoto nilipokuwa nachungulia "Youtube"bali ni anagonga hoja na watu zinawaingia kwa hasira kubwa
Yote haya yanayoendelea na mashambulizi yote lakini tutashinda kwa mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi.
Tundu Lissu kwenye kuelezea historia ya nchi hii tangu ukoloni mpaka sasa namfananisha na Rais mstaafu Jakaya kikwete
Tundu lissu na Jakaya Kikwete kwenye kuelezea matukio ya nchi hii tangu uhuru kwa mifano na kusisimua ninawakubali sana
Tundu Lissu na Jakaya Kikwete wana uwezo wa kushusha nondo za nchi hii kwa kumbukumbu kubwa sana na ya kushawishi tumetoka wapi na tupo wapi
System imeshapiga tickUkifatilia hoja za Lissu hasa anapoongea unagundua ni mmoja kati ya viongozi wachache wenye uwezo mkubwa wa akili(IQ) na mtunzaji mkubwa wa kumbukumbu.
Isingekuwa issues za kisiasa, huyu jamaa angekuwa msaada Sana kwa Nchi iwapo angetumika.
Ni wakati sasa wa TISS kumwamini huyu kiongozi na kuridhia atuongoze hasa ikizingatiwa Wananchi mamia kwa maelfu wameonesha nia ya kumuhitaji kama Rais wa Nchi
HopelessNikutaarifu tu bado unaota amka. Tundu Lisu ndiye kiumbe mpumbavu Tanzania nzima. Enzi za kikwete walipiga kelele dhini ya ujenzi wa miundombinu, wakalalamika wakisema Ni aibu nchi Haina hata ndege 1, awamu hii hawana hoja za msingi ndio maana Vita yao kubwa Ni kumtukana magufuli, kupandikiza chuki kwa wananchi.
Tangu amenza kampeni sijaona pointing yeyote anaongea matusi tu. Katika kampeni zake anajaribu kuuthibitishia umma kuwa serikali haimuwezi kwamba anaijua Sheria na Yuko juu ya Sheria.
Hapa Ni anagombea na ndo Yuko hivi je akiupata huo urais unadhani atabadilika? Huyu ana chuki anawaaminisha watanzania kuwa Magufuli alimpiga risasi lakini hizo Ni tuhuma hakuna mwenye uhakika nazo na cha ajabu wananchi wasio elewa kazi kupelekwa wanaamini anachosema.
Juzi Mbowe alipoanguka Kama pasingekuwa na waliomuona mapema Basi mda huu nae angekuwa analalamika ameshambuliwa na watu wa Magufuli.
Tukirejea mfumo wa elimu Duniani kote lazima usome nasharia Kwanza kabla ya vitendo. Kwa ufupi LIssu sio mjinga Bali mpumbavu kwani anaelewa ukweli ila anawalaghai watanzania na kuwaingiza katika Vita na serikali ili muichukie.
Watu wagumu kama wamasai lakini walimwelewa LissuAliwashushia nondo wamasai kule ngorongoro mpaka nikasema lisu alizaliwa miaka ya 1800 nn mpaka unaona wamasai shule inawaingia kumbe wamasai walisaini makubaliano na serikali kuwa wataishi milele pale
ccm ,ccm ahaaa ahaaa chama cha mapinduzi CCM namba one
Na wajinga wanajua CCM namba one
Na matapeli wanajua CCM namba one
Na mataga wanajua CCM namba one
Watanzania wote ,Watanzania makengeza
Namba li one ooho ,namba li one ni chichiem
Lieni lieni lieni ohoo lieni ,lieni kwa moyo moja namba li one ooh namba li one ni chi chiem
Unajipa kazi kubwa ya kuchungulia Youtube si mumuonyeshe huko Tbc ccm kuliko kujificha youtube huku unaumia
Ahaa kweli mambo yamekuwa mambo kumbe kila siku mnamtafuta Youtube
Mkuu tufanyaje ili wananchi wasiende Kwenye mikutano yake?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa ufupi Lissu hajabandika bando hata moja zunguka kote