Uchaguzi 2020 Ni kichwa ngumu na uzalendo tu kwa CCM: Tundu Lissu anatikisa, smart na anapendwa

TISS ndo wanaamua nani aongoze nchi sio tena wananchi kwenye sanduku la kura??
Labda itokee mwaka huu kwa mara ya kwanza, but mara zote Rais wa Nchi huwa anachaguliwa nje ya sanduku la kura
 
Wanabodi,

Nguvu ya Tundu lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka ukerewe si ya kawaida tena, ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.

Mapigo ya Tundu Lissu Ukerewe, Mapigo ya simiyu huko bariadi yatosha kusema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.

Ni uzalendo wetu ndani ya chama chetu cha mapinduzi ndio unatupa ganzi la moyo na ahueni huku tukijifariji lakini. Technically Tundu Lissu ana hoja na anashambulia ngome mfululizo bila aibu huku akiungwa mkono na umati ambao una uchungu na hasira kubwa.

Leo akiwa Simiyu na akinukuu wosia wa Baba wa Taifa wa mwaka 1995 kuhusu uhuru na maendeleo ya watu kwa mifano na akili kubwa hakika amenifanya nishindwe kuendelea kumchungulia kule "Youtube " anatuchezesha sindimba na Segere huku wengine wakisema Beat ya mdundo ina mikwaruzo.

Niliamini ni ndumba na uchawi unatumika ili kushawishi watu kwa maelfu kumshangilia Tundu lissu lakini nimegundua watu wanahitaji maendeleo ya mifukoni mwao yaani pesa. Anachokifanya ni kupigilia msumari wa hasira kwenye maisha na kuwatia watu uchungu unaopelekea kuambiana sera zake.

Tundu Lissu alifaa kuwa professor, Doctor, Mwanahistoria na Mwanamikakati anawajaza watu nguvu na morali ya kutokukata tamaa. Anawaaminisha watu kuwa nchi h ii Raia ndio mmiliki na anapaswa kupewa nguvu ya kuwasema watawala na kuwawajibisha wakikosea.

Tangu kuanza kampeni hakuna wakati au siku ambayo Tundu Lissu ameshambulia ngome kwa hoja kuanzia vitambulisho vya machinga ,Afya,Mfumo wa elimu yetu ya kujaza notes,Bei za mazao,Muundo wa uongozi mpaka ajira na mishahara kama leo

Nilijua labda naota lakini nikaamua kufuatilia habari zake kwenye television tofauti za online na zile za masafa saa mbili usiku huu nikagundua haikuwa ndoto nilipokuwa nachungulia "Youtube"bali ni anagonga hoja na watu zinawaingia kwa hasira kubwa

Yote haya yanayoendelea na mashambulizi yote lakini tutashinda kwa mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi.

Tundu Lissu kwenye kuelezea historia ya nchi hii tangu ukoloni mpaka sasa namfananisha na Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Tundu lissu na Jakaya Kikwete kwenye kuelezea matukio ya nchi hii tangu uhuru kwa mifano na kusisimua ninawakubali sana.

Tundu Lissu na Jakaya Kikwete wana uwezo wa kushusha nondo za nchi hii kwa kumbukumbu kubwa sana na ya kushawishi tumetoka wapi na tupo wapi
Nguvu ya Tundu Lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka Ukerewe si ya kawaida tena, ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.[emoji1536]
 
Mkuu kiu ya wananchi kutaka mabadiliko haikuanza leo, ipo tangu siku nyingi bali staili ya jiwe kutawala nchi kimabavu na kikabila imekuja kuchochea zaodi kiu hiyo lakin kiu ilikuwepo tangu zaman.
 
Licha ya kupotosha umma kwa kutumia uongo, bado hajafikia hata nusu ya Lowasa, robo ya Mrema.

Lissu hana busara ya kuongoza nchi, anafaa tu kuwa kibaraka
 
Aliwashushia nondo wamasai kule ngorongoro mpaka nikasema lisu alizaliwa miaka ya 1800 nn mpaka unaona wamasai shule inawaingia kumbe wamasai walisaini makubaliano na serikali kuwa wataishi milele pale
The guy he is smart
 
Kikwete ndiye mtu pekee kisiasa anayemfahamu vizuri Tundu Lisu kuliko mtu mwingine yeyote yule katika nchi hii.Kikwete na Lisu ni watu wanaoendana sana kiuwezo wao wa kisiasa tofauti yao inakuwa kwenye Career zao tu, mwingine ni mwanauchumi na mwingine ni mwanasheria, lkn pia mwingine ni jasiri sana kuliko mwingine.
Ni watu waliotokea kupendwa sana katika nchi yetu hii kutokana na harakati zao.
Kikwete mwanauchumi? [emoji16]
 
Wanabodi,

Nguvu ya Tundu lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka ukerewe si ya kawaida tena, ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.

Mapigo ya Tundu Lissu Ukerewe, Mapigo ya simiyu huko bariadi yatosha kusema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.

Ni uzalendo wetu ndani ya chama chetu cha mapinduzi ndio unatupa ganzi la moyo na ahueni huku tukijifariji lakini. Technically Tundu Lissu ana hoja na anashambulia ngome mfululizo bila aibu huku akiungwa mkono na umati ambao una uchungu na hasira kubwa.

Leo akiwa Simiyu na akinukuu wosia wa Baba wa Taifa wa mwaka 1995 kuhusu uhuru na maendeleo ya watu kwa mifano na akili kubwa hakika amenifanya nishindwe kuendelea kumchungulia kule "Youtube " anatuchezesha sindimba na Segere huku wengine wakisema Beat ya mdundo ina mikwaruzo.

Niliamini ni ndumba na uchawi unatumika ili kushawishi watu kwa maelfu kumshangilia Tundu lissu lakini nimegundua watu wanahitaji maendeleo ya mifukoni mwao yaani pesa. Anachokifanya ni kupigilia msumari wa hasira kwenye maisha na kuwatia watu uchungu unaopelekea kuambiana sera zake.

Tundu Lissu alifaa kuwa professor, Doctor, Mwanahistoria na Mwanamikakati anawajaza watu nguvu na morali ya kutokukata tamaa. Anawaaminisha watu kuwa nchi h ii Raia ndio mmiliki na anapaswa kupewa nguvu ya kuwasema watawala na kuwawajibisha wakikosea.

Tangu kuanza kampeni hakuna wakati au siku ambayo Tundu Lissu ameshambulia ngome kwa hoja kuanzia vitambulisho vya machinga ,Afya,Mfumo wa elimu yetu ya kujaza notes,Bei za mazao,Muundo wa uongozi mpaka ajira na mishahara kama leo

Nilijua labda naota lakini nikaamua kufuatilia habari zake kwenye television tofauti za online na zile za masafa saa mbili usiku huu nikagundua haikuwa ndoto nilipokuwa nachungulia "Youtube"bali ni anagonga hoja na watu zinawaingia kwa hasira kubwa

Yote haya yanayoendelea na mashambulizi yote lakini tutashinda kwa mbinu za kisasa na zilizoboreshwa zaidi.

Tundu Lissu kwenye kuelezea historia ya nchi hii tangu ukoloni mpaka sasa namfananisha na Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Tundu lissu na Jakaya Kikwete kwenye kuelezea matukio ya nchi hii tangu uhuru kwa mifano na kusisimua ninawakubali sana.

Tundu Lissu na Jakaya Kikwete wana uwezo wa kushusha nondo za nchi hii kwa kumbukumbu kubwa sana na ya kushawishi tumetoka wapi na tupo wapi
CCM wanakosa political strategist, namshangaa Bashiru na Phd yake ya siasa anashindwa kuelewa mikakati katika uwanja wa siasa,

Nadhani tatizo ni phd zetu za vyeti bila kuwa rutuba katika ubongo.

Unamzuia vipi mtu asifike eneo fulani kwa kampeni?

Ushamba.

Kupanda Mtumbwi kwa Lissu kumpeleka ujumbe kwa wana ukerewe kuwa lissu ni mpiganaji asiyejali dhiki wala raha.

Magufuli itamgharimu pakuwa ukerewe this time, nafikiri naye aende kwa Jahazi kurudisha matumaini
 
Nikutaarifu tu bado unaota amka. Tundu Lisu ndiye kiumbe mpumbavu Tanzania nzima. Enzi za kikwete walipiga kelele dhini ya ujenzi wa miundombinu, wakalalamika wakisema Ni aibu nchi Haina hata ndege 1, awamu hii hawana hoja za msingi ndio maana Vita yao kubwa Ni kumtukana magufuli, kupandikiza chuki kwa wananchi.

Tangu amenza kampeni sijaona pointing yeyote anaongea matusi tu. Katika kampeni zake anajaribu kuuthibitishia umma kuwa serikali haimuwezi kwamba anaijua Sheria na Yuko juu ya Sheria.

Hapa Ni anagombea na ndo Yuko hivi je akiupata huo urais unadhani atabadilika? Huyu ana chuki anawaaminisha watanzania kuwa Magufuli alimpiga risasi lakini hizo Ni tuhuma hakuna mwenye uhakika nazo na cha ajabu wananchi wasio elewa kazi kupelekwa wanaamini anachosema.

Juzi Mbowe alipoanguka Kama pasingekuwa na waliomuona mapema Basi mda huu nae angekuwa analalamika ameshambuliwa na watu wa Magufuli.

Tukirejea mfumo wa elimu Duniani kote lazima usome nasharia Kwanza kabla ya vitendo. Kwa ufupi LIssu sio mjinga Bali mpumbavu kwani anaelewa ukweli ila anawalaghai watanzania na kuwaingiza katika Vita na serikali ili muichukie.
Ndo anagombea urais na wananchi wanamkubali sasa na upumbavu wake kama usemavyo wewe😂😂
 
Back
Top Bottom