Uchaguzi 2020 Ni kichwa ngumu na uzalendo tu kwa CCM: Tundu Lissu anatikisa, smart na anapendwa

We kilaza kweli lazima utetee ugali wako
 
Hoja yako ya msingi ni ipi zaidi ya matusi na chuki dhidi ya Lissu nakushauri relax tafuna kitunguu saumu huku ukishushia na maji kupunguza pressure
 
Upo sahihi Mkuu, wasipotumia wizi wa kura itakuwa ngumu uchaguzi huu kushinda kwa chama tawala
 
Angalieni Mbuzi maji hii hapa, hushangai hata wajinga wenzako wa Lumumba hawakupi hata likes kwenye comment yako?
 
Huu ujinga kadanganyaneni uko lumumba.
 
Ndugu huna ulichoacha. Ni kweli kabisa. He is a genius..
 
MESSAGE NZURI SANA MKUU KWA HIKI KITENGO. DIWANI NA TISS WOTE —UJUMBE WENU HUU. KUONGEZEA TU HAPO, KUNA SWALI AMEULIZA TUNDU KULE TWITTER JUU YA AFYA YA RAIS WETU, ILITAKIWA PIA MFIKIRIE MAJIBU YAKE MARA MBILI MBILI. MSITUINGIZE KWENYE MATATIZO MIAKA MINGINE MITANO IJAYO. NYINYI NI WALINZI WA USALAMA WETU.
 
Inawezekana Lissu akawa siyo mjinga bali mpumbavu, Lakini kama asipo kuwa mpumbavu, Wewe utakua mpumbavu kwa hiki ulicho andika!
 
KwKwani kikwete aliwahi kukuwekea hela mfukoni?? Mbona hela zilikuepo mtaani na watu walikua wanamiliki hela??? Sera Ndo znasababisha watu wawe na hela mifukoni acha uzwazwa
Mbona bado mlia kuwa maisha magumu .Fanya kazi bwana mdogo kwa kikwete tulifanya kazi.wenzenu kila siku tunafanya maendeleo.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Mkuu,saluti kwako na afya yako pia.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Khahahaha,kama umeoa basis mkeo anakuona bwege.akili za bashiru anayetapatapa baharilin
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Alisikika muuza ndizi mbobevu mmoja akibwabwaja .
 
Jamaa ana confidence ya hali ya juu..anadai orodha ya The Hague imeshaandaliwa na kuna majina kila siku yanaongezeka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…