Revocatus73
Member
- Aug 22, 2026
- 6
- 6
Habari,
Nimemaliza chuo mwaka huu. Kwa sasa nipo Dar es Salaam, nimesoma Bachelor of Science in Taxation chuo IFM. Nina uwezo mzuri katika kutumia Microsoft Office kama Excel.
Pia nimewahi kufanya kazi stationery, kuandaa kazi mbalimbali kama TIN number registration, HESLB application, Rita verification, preparation of project work, BRELA. Kama kuna mtu atapendezwa na CV yangu au anaweza kunisaidia kujitolea katika office yake, nipo tayari.
Namba zangu za simu: 0617126254