Ni Kijana wa miaka 24, natafuta kazi ndani ya Dar es salaam

Ni Kijana wa miaka 24, natafuta kazi ndani ya Dar es salaam

sa atakua anatoa wapi nauli au atapewa kiinua mgongo jamni
Huko atakapojitolea akifanya vizuri, watajiongeza tu. Nauli na chakula hawatamnyima, akifanya vizuri zaidi, atafikiriwa kwa ajira.

Sasa akikaa nyumbani na kujitolea ni wapi pana unafuu na kumuongezea tija?
 
Back
Top Bottom