Revocatus73
Member
- Aug 22, 2026
- 6
- 6
kataa pepo la kujitolea bure,, unatakiwa upate sehemu utakayo lipwaanaweza kunisaidia kujitolea katika office yake nipo tayar
Ni profession yako na sio professional yakoWakati unatafuta kazi ya professional yako hebu jaribu kutafuta haya makampuni ya fiber naona yanaajiri sana vijana kwa ajili ya sales za fiber
Unamponza mwenzakokataa pepo la kujitolea bure,, unatakiwa upate sehemu utakayo lipwa
kila lenye kheri kwako
Hapo kwenye hao wa Fiber Bora awe mpiga debe awe anapewa mia mbili Kila gari ila sio huko😀😀hizo kazi ni kama zile tunazokutana nazo zimebandikwa kwenye nguzo za umeme wameandika na mshahara wa laki tanoWakati unatafuta kazi ya professional yako hebu jaribu kutafuta haya makampuni ya fiber naona yanaajiri sana vijana kwa ajili ya sales za fiber
Amesema amesoma Bsc in taxation ila wewe unamuuliza kama kasomea taxation.Umesomea Taxation?Kama Uko vizuri Jibu Hapa Kuna mtu nampatia CV yako akupigie anatafuta watu kama wewe?
NdioMaelezo yako yamenyooka, kweli unataka kazi
NdioUmesomea Taxation?Kama Uko vizuri Jibu Hapa Kuna mtu nampatia CV yako akupigie anatafuta watu kama wewe?
NakupatajeUmemaliza juzi tu huna hata cheti ina maana.
Nina stationery Luguruni kwa mkuu wa wilaya kama upo tayari niguse mshahara 150k
Kuna wasichana wawili ni stationery kubwa
Kuna watu nawajua wanafanya muda na wanalipwa vizuriHapo kwenye hao wa Fiber Bora awe mpiga debe awe anapewa mia mbili Kila gari ila sio huko😀😀hizo kazi ni kama zile tunazokutana nazo zimebandikwa kwenye nguzo za umeme wameandika na mshahara wa laki tano
SawaNi profession yako na sio professional yako
Sijachagua kazi nipo tayar kwakaz yoyote muhimu iniingizie kipatoHongera yako kwa kujichagulia kazi.