Revocatus73
Member
- Aug 22, 2026
- 6
- 6
- Thread starter
-
- #21
Yer pia uhasibu naweza kufanya piaJitahid kuboresha mwandiko
Umesoma Tax, una uwanja mpana hata kwenye uhasibu ikiwa ulikuwa unaelewa nadhani Mwambuli aliwaandaa kuwa ma expert
Utapata soon
sa atakua anatoa wapi nauli au atapewa kiinua mgongo jamniUnamponza mwenzako
Kuna watu wanajua kukurupuka sana sijui wanajibu bila kusoma!Amesema amesoma Bsc in taxation ila wewe unamuuliza kama kasomea taxation.
Mkuu najua una uhitaji wa kazi lakini kwa mshahara wa 150k sio chaguo sahihi! Jaribu kwenye zile big four firms huwa wanaajiri kada yenu!Nakupataje
Huko atakapojitolea akifanya vizuri, watajiongeza tu. Nauli na chakula hawatamnyima, akifanya vizuri zaidi, atafikiriwa kwa ajira.sa atakua anatoa wapi nauli au atapewa kiinua mgongo jamni
Amesema amesoma Bsc in taxation ila wewe unamuuliza kama kasomea taxation.
sa atakua anatoa wapi nauli au atapewa kiinua mgongo jamni
Ikawe kheri kwako.Sijachagua kazi nipo tayar kwakaz yoyote muhimu iniingizie kipato