Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mshahara wa kujipendekeza ni fedheha hadi unakufaMwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
😁😁😂 Ukisikia umalaya wa siasa ndo huu, unabadili wanaume/chama ukidhani utapata maisha mazuri
DC Yerrico 😁Yerico a.k.a plagiarist #1 Afrika ameamua kuwa chawa wa CCM. Anakandia waandamanaji na kupongeza serikali kwa kuwaua waandamanaji kwa risasi. U DC unatafutwa!
Pole🤣🤣🤣Chadema walianza na wabunge wangapi hadi mkaja kupata wabunge zaidi ya 100?
Hata chaumma watakuwa hvo hvo
Mkuu wa Mkoa Moza Ally😁😁Labla lile la Vampire la zanzibar litawahonga ukuu wa wilaya na mkoa.
Wamekula aibu ya mwaka😂 Ukisikia umalaya wa siasa ndo huu, unabadili wanaume/chama ukidhani utapata maisha mazuri
Usishangae akawa mkuu wa mkoa mpya wa IfakaraMkuu wa Mkoa Moza Ally😁😁
Cdm walikuwa wanapata ushindi wa halali, sio kwa kuwasujudia ccm. Na kwa haya mabadiliko yanayokuja utaona jinsi cdm watakavyopata kura za kumwaga. Na bila mabadiliko mtatuulia barabarani.Chadema walianza na wabunge wangapi hadi mkaja kupata wabunge zaidi ya 100?
Hata chaumma watakuwa hvo hvo
Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
Wameambulia makombo tuu hakuna hata mmoja aliyepata 1B au nusu yakeHuenda wamepewa mahela,maana serikali hii ina mahela mengi mno ya kuhonga