Ni kinywagi gani unapendelea kunywa zaidi

Ni kinywagi gani unapendelea kunywa zaidi

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
5,634
Reaction score
9,149
Hi every one.

Mimi napenda kunywa kinywaji cha coca cola bila hiyo sijisikii vizuri kwa siku lazima ninywe 2 au 3 napenda sana coke.

[emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
 
Utapata madhara boss kuna padre alikua kila siku ya mungu lazma anywe coca moja ile chupa kubwa bila hiyo haezi fanya kitu alikua over addicted na ndio ikaja kumuua.. too much is harmful..atleast kunywa moja kwa siku tena zile coke zero
 
KONYAGI KUBWA SIZE YA MWISHO AU K-VANT ILE KUBWA AU VALUER ILE KUBWA KABISA.... CHOCHOTE KATI YA HIVYO NA SAFARI MBILI BARIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Hii Maji lazma nipige ya kutosha siyo lazma yawe ya kununua hapana hata ya bomba, ila maji ya bomba ya dar siyo masafi sana......

tansania_10_015-jpg.479183


Hii kitu lazma kwenye freezer kuwe na cartone za kutosha.....
emperador.jpg
 
Hakuna siku imepta sijanywa chai.Mchana na usiku
 
Back
Top Bottom