Ni kinywagi gani unapendelea kunywa zaidi

Ni kinywagi gani unapendelea kunywa zaidi

PURSLANE + BEET LEAVES JUICE au
LUFFA LEAVES + SPINACH JUICE HAPO NDO HUWA BURDAAANI SIKU INAENDA VEMA
 
Maziwa na juisi mchanganyiko wa pashen na embe
 
Napenda sana juice ya miwa, nikiwa kwenye mizunguko yangu nikiiona inauzwa lazima nipate lile glass kubwa na nyingine lazma ibebwe....
 
Kama uko >35yrs bia si nzuri sana,zinaongeza blood sugar type 2.Kunywa bia mbili tu ondoka zako kwenda nyumbani
 
Napenda sana juice ya mchanganyiko wa embe passion na parachichi.
 
Back
Top Bottom