Kabogo Kabogo
Member
- Jul 23, 2017
- 76
- 37
Ahahahaa [emoji23][emoji115]duh!![]()
Hapo ndo tunaongea sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaa [emoji23][emoji115]duh!![]()
Hapo ndo tunaongea sasa
Valuer [emoji735]Konyagi kubwa au valuer.. Changanya na sprite
KONYAGI KUBWA SIZE YA MWISHO AU K-VANT ILE KUBWA AU VALUER ILE KUBWA KABISA.... CHOCHOTE KATI YA HIVYO NA SAFARI MBILI BARIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Napenda sana cocacola ukiunganisha na walivyotushushia bei na nikicheki na lile tangazo lake plus taste take...daah huwa naonja msisimuko and it has been my favorite drink..Hi every one.
Mimi napenda kunywa kinywaji cha coca cola bila hiyo sijisikii vizuri kwa siku lazima ninywe 2 au 3 napenda sana coke.
[emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
Tofauti na maji ambayo ni muhimu kwa kila mtu..what is next? nikutumie pesa unywe bibieMaji
Tofauti na maji ambayo ni muhimu kwa kila mtu..what is next? nikutumie pesa unywe bibie
Sawa mama acha nikufateJuice ya embe(fresh)
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]![]()
Hapo ndo tunaongea sasa