Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Togwa au juice ya ukwaju na kwa kuwa sehemu nyingi hawauzi hizi huwa nazuka na chupa yangu kwenye mfuko wa suruali.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti tumefanana halafu mbona haujaniambia jana bday yake ningemuwish hata chit chat
Jana ndio kazaliwa bhn mm nilimuwish nje ya huu mji
 
Duh! yani wewe ndio unanishtua kua hyo id ni yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yake hiyo sasa hushangai mtu kakuquote mavinywaji yako
 
Huwa anakunywa konyagi ila mpaka aichanganye na juice ya komamanga ile ya azam alafu anasafisha koo na st.anna
[emoji23][emoji23] heshima yako mkuu yani shem wako ndio nanifumbua macho hapa nilikua sijakusoma.....

Ndio maana nashangaa unaelezea kabisa vitu ambavyo natumia kumbe homeboy [emoji119] [emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yake hiyo sasa hushangai mtu kakuquote mavinywaji yako
Hahah! eti mavinywaji yako

Nimeshangaa kuona anaelezea vinywaji vyangu kwa undani zaidi ila nikapuuzia tu kumbe mtu wangu wa nguvu kabisa
 
Hahah! eti mavinywaji yako

Nimeshangaa kuona anaelezea vinywaji vyangu kwa undani zaidi ila nikapuuzia tu kumbe mtu wangu wa nguvu kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] natamani niwajue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…