Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio unywe beer sasaKauli zako zilivyo kali juu ya vinywaji vyangu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio unywe beer sasaKauli zako zilivyo kali juu ya vinywaji vyangu...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti tumefanana halafu mbona haujaniambia jana bday yake ningemuwish hata chit chatHahah!!
Aya nitajifunza hadi Konyagi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio unywe beer sasa
Jana bday ya nani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti tumefanana halafu mbona haujaniambia jana bday yake ningemuwish hata chit chat
Ya home boy wako si amekuquote hapo na I'd yake nyingine yenye avatar ya balimiJana bday ya nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya nitajifunza hadi Konyagi
Duh! yani wewe ndio unanishtua kua hyo id ni yakeYa home boy wako si amekuquote hapo na I'd yake nyingine yenye avatar ya balimi
Jana ndio kazaliwa bhn mm nilimuwish nje ya huu mji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti tumefanana halafu mbona haujaniambia jana bday yake ningemuwish hata chit chat
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yake hiyo sasa hushangai mtu kakuquote mavinywaji yakoDuh! yani wewe ndio unanishtua kua hyo id ni yake
Ndio ameniambia sasa hivi kuwa hujaniambia nimemwambia davet hajaniambiaJana ndio kazaliwa bhn mm nilimuwish nje ya huu mji
Mimi nikitoka na marafiki hua napenda kutumia vinywaji ivi;
*Peroni Nastro Azuro
*Safari
*Robertson wine
*Castle Milk Stout
* Pepsi
*Jack Daniels/ Smineoff / Zanzi....
[emoji23][emoji23] heshima yako mkuu yani shem wako ndio nanifumbua macho hapa nilikua sijakusoma.....Huwa anakunywa konyagi ila mpaka aichanganye na juice ya komamanga ile ya azam alafu anasafisha koo na st.anna
secondary enzi hzo.Sun Vita.
Huko hapana kwasasa ngoja baadae[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] me nakupeleka huko halafu we unanitoa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] badae tenaHuko hapana kwasasa ngoja baadae
Hahah! eti mavinywaji yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yake hiyo sasa hushangai mtu kakuquote mavinywaji yako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] natamani niwajueHahah! eti mavinywaji yako
Nimeshangaa kuona anaelezea vinywaji vyangu kwa undani zaidi ila nikapuuzia tu kumbe mtu wangu wa nguvu kabisa
Nilisahau kabisa kukuambiaNdio ameniambia sasa hivi kuwa hujaniambia nimemwambia davet hajaniambia