Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Smirnoff ice black narefersh nikiwa kazini
Safari ya kopo nikiwa sina hela nna hamu ya kunywa
Jameson nikiwa home
Guiness nikiwa bar
Heinken nikiwa viwanja vya kijanja
Hennessy nikakaa mkao wa deal au wa mipango na maDon
MagicMoments nikitaka kumtafuna demu ambae anajifanya hapendi harufi kilaji
Tall Horse wine yangu ya home

Pombe raha sana haswa ukiinywa kwa mpangilio
Zina majina magumu.
 
Hahahahhh kwahiyo umefikia wapi kunifatilia ebu niambie unakunywa nn au mwendo wa kuleteana nzi
[emoji23][emoji23][emoji23] amna bhn nzi siwezi kuleta... hahah!!

Nakuja huko kuangalia mpira nimeona remote yangu pendwa kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] amna bhn nzi siwezi kuleta... hahah!!

Nakuja huko kuangalia mpira nimeona remote yangu pendwa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwa jirani halafu Ila ukuje tu ukutane na kifurushi cha bomba upambane na super sport 7
 
Back
Top Bottom