Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kinywaji changu hiko niwe na marafiki au peke yanguView attachment 724048
Nyokoooooooooo [emoji57][emoji57][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji102] Nakufatilia kwa ukaribu sana [emoji23][emoji23]Kinywaji changu hiko niwe na marafiki au peke yanguView attachment 724048
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyokoooooooooo [emoji57][emoji57]
Zina majina magumu.Smirnoff ice black narefersh nikiwa kazini
Safari ya kopo nikiwa sina hela nna hamu ya kunywa
Jameson nikiwa home
Guiness nikiwa bar
Heinken nikiwa viwanja vya kijanja
Hennessy nikakaa mkao wa deal au wa mipango na maDon
MagicMoments nikitaka kumtafuna demu ambae anajifanya hapendi harufi kilaji
Tall Horse wine yangu ya home
Pombe raha sana haswa ukiinywa kwa mpangilio
Hahahahhh kwahiyo umefikia wapi kunifatilia ebu niambie unakunywa nn au mwendo wa kuleteana nzi[emoji102] Nakufatilia kwa ukaribu sana [emoji23][emoji23]
Nakunywa vingi mpendwaUnakunywaga nini eti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan kama nakuona mimate ilivyokujaa mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee yaan wewe utakuwa chapombe jamaniNakunywa vingi mpendwa
Achaaa kabisa. Siku nikiziacha hizo ntaruka ruka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan kama nakuona mimate ilivyokujaa mfyuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwezi kuziacha labda uokokeAchaaa kabisa. Siku nikiziacha hizo ntaruka ruka
[emoji23][emoji23][emoji23] amna bhn nzi siwezi kuleta... hahah!!Hahahahhh kwahiyo umefikia wapi kunifatilia ebu niambie unakunywa nn au mwendo wa kuleteana nzi
Hapana sio mlevi mimi... ila mivinyo ndio napenda zaidiAiseeee yaan wewe utakuwa chapombe jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwa jirani halafu Ila ukuje tu ukutane na kifurushi cha bomba upambane na super sport 7[emoji23][emoji23][emoji23] amna bhn nzi siwezi kuleta... hahah!!
Nakuja huko kuangalia mpira nimeona remote yangu pendwa kabisa
Ooh unapenda vitu laini laini eenhHapana sio mlevi mimi... ila mivinyo ndio napenda zaidi
Nitaweza tuu wakunyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huwezi kuziacha labda uokoke