Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwa jirani halafu Ila ukuje tu ukutane na kifurushi cha bomba upambane na super sport 7
Hahah!! Acha tu hivyo hivyo nitaangalia La liga na dish
 
Safiii sana ila nasikia laini laini huwa zinakimbilia chini
Alcohol yeyote lazima ikimbilie miguuni ndio mana walevi huwa wanayumba[emoji1] [emoji1] ... ...

hahah.. mpaka utajaa kwenye point kuu tu
 
Alcohol yeyote lazima ikimbilie miguuni ndio mana walevi huwa wanayumba[emoji1] [emoji1] ... ...

hahah.. mpaka utajaa kwenye point kuu tu
Mh sio chini ya hivyo jamani khaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inanukia na uhenga wangu ila nipo kwa jirani
Upo kwenye chumba chako huko nanjilinji sema tu hutaki nije ndio maana vikwazo kibao, mara kifurushi cha bomba, mara kwa jirani
 
Upo kwenye chumba chako huko nanjilinji sema tu hutaki nije ndio maana vikwazo kibao, mara kifurushi cha bomba, mara kwa jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye kistore changu
 
Back
Top Bottom