Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ameen wakunyumba nakuombea ukuje kuachaNitaweza tuu wakunyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameen wakunyumba nakuombea ukuje kuachaNitaweza tuu wakunyumba
Hahah!! Acha tu hivyo hivyo nitaangalia La liga na dish[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwa jirani halafu Ila ukuje tu ukutane na kifurushi cha bomba upambane na super sport 7
Kabisa yani ngumu sipendi....Ooh unapenda vitu laini laini eenh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo unakuja hapa hapa kwa jirani nilipoHahah!! Acha tu hivyo hivyo nitaangalia La liga na dish
Safiii sana ila nasikia laini laini huwa zinakimbilia chiniKabisa yani ngumu sipendi....
Pepsi za wakubwa[emoji20]Hata Mimi shem-babe[emoji4]
hahahaWengine hapa wanadanganya tu wanataja vinywaji ambavyo hata hawajawahi kunywa
Kwajirani wa wapi bhn wewe? hiyo mito inanukia wewe kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo unakuja hapa hapa kwa jirani nilipo
Pepsi cola babe[emoji5]Pepsi za wakubwa[emoji20]
[emoji9][emoji9][emoji9]Pepsi cola babe[emoji5]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inanukia na uhenga wangu ila nipo kwa jiraniKwajirani wa wapi bhn wewe? hiyo mito inanukia wewe kabisa
Alcohol yeyote lazima ikimbilie miguuni ndio mana walevi huwa wanayumba[emoji1] [emoji1] ... ...Safiii sana ila nasikia laini laini huwa zinakimbilia chini
Mh sio chini ya hivyo jamani khaaaAlcohol yeyote lazima ikimbilie miguuni ndio mana walevi huwa wanayumba[emoji1] [emoji1] ... ...
hahah.. mpaka utajaa kwenye point kuu tu
Upo kwenye chumba chako huko nanjilinji sema tu hutaki nije ndio maana vikwazo kibao, mara kifurushi cha bomba, mara kwa jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inanukia na uhenga wangu ila nipo kwa jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye kistore changuUpo kwenye chumba chako huko nanjilinji sema tu hutaki nije ndio maana vikwazo kibao, mara kifurushi cha bomba, mara kwa jirani
Vyote kwa pamoja? Au kila kimoja na muda wake?Namaqua wine
Altar wine
Savanna
Bavaria
Maji
Tequila
Hahah!! Aya tuyaache hayoMh sio chini ya hivyo jamani khaaa
Tuyaache tu unaponipeleka sipoHahah!! Aya tuyaache hayo