Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

Ni kinywaji gani unapenda kutumia utokapo na marafiki?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye kistore changu
Sema umekipangilia vizuri maana baiskeli imekaa sehemu yake, ndoo za maji safi na gunia la mkaa umelifunika vizuri [emoji23][emoji23]
 
Sema umekipangilia vizuri maana baiskeli imekaa sehemu yake, ndoo za maji safi na gunia la mkaa umelifunika vizuri [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bichwa lako
 
Kusema bila kuonyesha ni kutengeneza majibu kabla ya swali
IMG-20180324-WA0015.jpeg
 
Back
Top Bottom