Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Nitakachokipata kuendana na mazingira na kilichopoVyote kwa pamoja? Au kila kimoja na muda wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakachokipata kuendana na mazingira na kilichopoVyote kwa pamoja? Au kila kimoja na muda wake?
Sema umekipangilia vizuri maana baiskeli imekaa sehemu yake, ndoo za maji safi na gunia la mkaa umelifunika vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwenye kistore changu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bichwa lakoSema umekipangilia vizuri maana baiskeli imekaa sehemu yake, ndoo za maji safi na gunia la mkaa umelifunika vizuri [emoji23][emoji23]
Toka huko, wewe hapo ndio ulikua unanipeleka hukoTuyaache tu unaponipeleka sipo
Wazee wa kanda ya ziwa tunagusa shujaaShujaa tunamix na balimi.
Purposely kwa ajili ya kuendana na hii hali ya uchumi wa viwanda.
Nilikuwa nakutafuta ebu njo kapukuBalimi ndogo na konyagi
Sawa rafikiNitakachokipata kuendana na mazingira na kilichopo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] me nakupeleka huko halafu we unanitoaToka huko, wewe hapo ndio ulikua unanipeleka huko
Poa nakujaNilikuwa nakutafuta ebu njo kapuku
Mzee wa st.annaSawa rafiki
SawaPoa nakuja
Hahah sema umetisha sana yani.... najua ushanielewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bichwa lako
Anakunywaje vinywaji hivyo ebu mfundishe vinywaji vya kiumeMzee wa st.anna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaaaaHahah sema umetisha sana yani.... najua ushanielewa
Huwa anakunywa konyagi ila mpaka aichanganye na juice ya komamanga ile ya azam alafu anasafisha koo na st.annaAnakunywaje vinywaji hivyo ebu mfundishe vinywaji vya kiume
Sasa konyagi anachanganyaje hivyo anywe beer basiHuwa anakunywa konyagi ila mpaka aichanganye na juice ya komamanga ile ya azam alafu anasafisha koo na st.anna
Hahah! hakika mkuu, hizo ngumu mara moja moja sanaMzee wa st.anna
Huwa anakunywa castle lite [emoji23]Sasa konyagi anachanganyaje hivyo anywe beer basi