Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
Anza kuchezesha la kulia, hapo cha msingi ni kuuchanganya ubongo wako, yote yatatulia
Aisee!
😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kuchezesha la kulia, hapo cha msingi ni kuuchanganya ubongo wako, yote yatatulia
Mmhh hapo pagumu sasaMkuu sina imani mbaya nilikuwa nataka kujua linasabashwa na nini??
Leo siku ya pili bado linacheza
Mmhh hapo pagumu sasa
Kwa sehemu kubwa ni imani uhalisia ni 25% kati ya 100%Kuna mtu alinidokezea
Likicheza la kushoto ni ishara nzur lakini likcheza la kulia kuna tatizo.
Je kunaukweli juu hilo?.
Anza kuchezesha la kulia, hapo cha msingi ni kuuchanganya ubongo wako, yote yatatulia
Sasa kama linakukera si utoe tuu jicho ilo
hahaha nimekuwahi mkuu kweli linasumbua sana na exactly hiyo ya imani potofu nimeisikia pia ila nikaona bora niulize kwa wataalamu wa afya najua kuna jambo nitapata,asante kama ni hali ya kawaida ni kweli hata nyama huwa unaisikia kabisa inacheza[emoji1], umeniwahi kuanzisha hii mada, nilikuwa ndio natype niitume humu nikaiona hii, kiufupi ni hali ya kibaiolojia tuu ktk mwili, na sio jicho tu kuna mda utasikia nyama ya mkono ikicheza kiganja cha mkono, mara kwenye mguu, au popote pale kulingana na mfumo wa mwili, wapo ambao kucheza kwa jicho huusianisha na imani potofu ya kutokea kwa kifo kwa mtu wa karibu, lkn kiuhalisia haina uhusiano wowote, ni sawa na imani waliyonayo baadhi ya watu kuwa kiganja cha mkono kikiwasha basi ni ishara ya kupata hela siku hyo lkn kiuhalisia hakuna kitu kama hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana mkuu wacha niufanyie kazi ushaur wako yaan hata mimi nilikua nasikilizia kama haitatulia ningeenda hospital tuNami nilipata tatizo kama hilo kwa jicho la upande wa kulia. Ila kwasasa limeisha, pasipo kumeza dawa.
Mimi nilipomaliza wiki mbili jicho linacheza hadi kuwa kero, nilikwenda zahanati, Mganga akaniambia ni jambo la kawaida.
Nilipomaliza mwezi, na kuhisi hiyo hali ya mchanga au kama kuna kinywele cha kope kimeingia, niliamua kwenda kwenye moja ya Private Hospital kubwa, wakanifanyia uchunguzi wote ikiwa ni pamoja na kupima pressure ya macho.
Dokta akaniambia nina upungufu wa machozi.
Ushauri:
Punguza kuangalia computer au tv hata simu kwa muda mrefu.
Ruhusu macho ya blink ili machozi yaweza kufanya mzunguuko.
Nilipewa ushauri mwingi, ila huu utakusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kukabiliana na hiyo hali huwa unafanyaje maana nina hiyo hali piaNinavyofahamu na kutokana na kufuatilia kwangu sijui wengine,jicho la kulia uliposema likicheza ni kuwa kitu kizuri kinakujia,la kushoto nikiongezea ni kuwa kitu kibaya chaja,ni upande wangu mimi,sijui wengine