snead
Member
- Jun 10, 2015
- 79
- 23
"KWA KIASI (95%) KIKUBWA ISHARA ZA JICHO LAKO HUTOA KAMA IFUATAVYO"
Mara nyingi jicho huashiria kuona kitu cha furaha(mfano mshiko/pesa) kwako kama linacheza juu kushoto
Kama chini mara nyingi huashiria
kulia/kutoa machozi ya uchungu/kuna huzuni inakukakiribia
Kucheza kulia juu mara nyingi huashiria kuona mwili mfu/mwili wa aliyekufa
Kucheza kulia chini mara nyingi huwa ni kicheko/furaha ya kucheka hadi machozi kutoka
" KAMA LINEMANISHA VIZURI OMBA MUNGU AKUPE MWONGOZO NA KAMA LINAEMANISHA VIBAYA OMBA MUNGU AKUEPUSHE HUZUNI/SHARI INAYOKUJA MBELE YAKO"
Hatari me linatikisika upande wa kulia juu