Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?



Hatari me linatikisika upande wa kulia juu
 

Sikubalian na we we izo ni iman tu
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia jicho likicheza hususani la kushoto basi kuna jambo baya limetokea au litatokea.

Sasa kuna kipindi nilikua jeshini huko jkt kwa muda mrefu sikuwasiliana na ndugu wala jamaa na jicho kwa mwezi mzima na nusu lilikua linacheza.

Nilipopata ruhusa kurudi home nikakuta Shangazi yangu wa tumbo moja na baba yangu amefariki na kuzika muda sana .

Kuna Ka ukweli fulani
 
Nimepitia nyuzi za nyuma wengi wamehusisha jambo hili na mambo ya kiimani.

Mwenye elimu ya kitabibu (daktari) naomba anisaidie jicho linacheza tangu asubuhi na si mara ya kwanza mara nyingi tu, ni kweli inahusiana na presha?

Natanguliza shukhrani.
 
Nimepitia nyuzi za nyuma wengi wamehusisha jambo hili na mambo ya kiimani.

Mwenye elimu ya kitabibu (daktari) naomba anisaidie jicho linacheza tangu asubuhi na si mara ya kwanza mara nyingi tu, ni kweli inahusiana na presha?

Natanguliza shukhrani.

Ni Mfumo wa misuli mkuu hakuna dawa ya moja kwa moja ila linapoanza kucheza, shika sehemu inayo cheza sugua taratibu kwa kidole litaacha kwa muda.
 
Ni Mfumo wa misuli mkuu hakuna dawa ya moja kwa moja ila linapoanza kucheza, shika sehemu inayo cheza sugua taratibu kwa kidole litaacha kwa muda.....

Nimejaribu lakini naona bado mkuu nashukuru kwa ushauri...yaaani mpaka nikiangalia macho naona kuna tofauti kabisa jicho moja la kushoto halijatulia najisikia kabisa. Linanikosesha amani ila namshukuru Mungu maana najua kuna wenye shida zaidi yangu.
 
Mimi jicho la kulia chini linacheza sana na sasa inakaribia wiki mbili na nusu hivi yani haiwezi kupita saa 1 bila kucheza lilikua linanipa wasiwasi sana nimefarijika kidogo kwa kusoma tafsiri yako. Ngoja nisubiri matokeo yake.
 
Ndugu zangu miili yetu iliumbwa na ishara nyingi sana ambazo wazee wetu walijua maana zake na mara nyingi miili yetu inatoa ishara izo Ila swala la usasa limeleta shida ktk kizazi cha Leo lakini ukiufwatilia vzuri mwili wako ktk ishara mbalimbali utajua kwamba Mungu alituumba katika ukamilifu wa pekee
 
Mi likicheza la kushoto bas kuna kitu cha hatari,aibu,ugomvi,kushutua kitatokea kwa mda huo na kweli huwa hivo. na likicheza la kulia basi inakua kinyume chake na kweli huwa aisee mf naweza nikamuomba mtu kitu mfano pesa basi likicheza kulia jamaa lazma anipe ila likicheza shoto bas atachomoa au atanipa kwa masharti kibao.
 
mimi jicho la kulia chini linacheza sana na sasa inakaribia wiki mbili na nusu hivi yani haiwezi kupita saa 1 bila kucheza lilikua linanipa wasiwasi sana nimefarijika kidogo kwa kusoma tafsiri yako. Ngoja nisubiri matokeo yake

I think kuna kizuri mkuu utafanikiwa. umetuma maombi ya kazi? basi YES itahusika kwako toa hofu (according to my experience)
 
Huu uzi umenigusa. Mi linacheza la kushoto juu. nini tatizo?
 
Huu uzi umenigusa. Mi linacheza la kushoto juu. nini tatizo?
Utaona ujumbe kutoka milima ya kushoto ikiteremka toka juu.

Chukua maji tia kwenye ungo. Simama mlango wa bafuni kunywa. Kisha sema jicho tulia.
 
Hata mm hili jicho linanisumbua.
Yaan mm linacheza kwenye unyusi hadi naumwa .
Nilijua tatizo n misuli maana hata misuli yang ya shing imekaza
 
Kumbe tupo wengi mm nilifikiri peke yangu tu. ila mm likicheza jicho na mashine huku chini inacheza sasa cjui ni nn?
 
Mimi ni wiki ya pili sasa jicho langu la kushoto chini linanicheza.

Ushauri wenu jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…