Ni kipi hutokisahau ulipokuwa ukweni?

Ni kipi hutokisahau ulipokuwa ukweni?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
I'll never forget such kind of moment in my life. Ile wamepika matoke wakayachanganya na maharage, plus matumbo ya ng'ombe, karanga za kusiginwa plus karanga za kutafunwa, humo humo mfuru, kha! Ile siku nilitembea kama naruka majoka vile kuelekea toy kujiharishia, tena mbele ya mama mkwe na madada wa muke wangu

Choo kilikuwa na katundu ka kuchungulia nje ukiwa umechutama, nikitamani waondoke nianze yangu, lakini ndo kwanza wako kwenye kijikeka mbele ya choo. Ile kuchutama tu, walisikia Buuuuuuuum Bhaaaaa Pah! Kila mmoja wao alikuwa mbele ya tukio alikimbia kama mchwa kichaa, mama mkwe alikimbia akiwa ameweka mikono kichwani huku akiuficha mbichwa, wakina dada walikimbia huku wameziba midomo yao ili kuizuia cheko, mke wangu pekee ndiye aliyebaki eneo la tukio akivumilia hali ile ya milipuko ya mabomu ya Mbagala kwa huruma nyingi mno

Nilivyotoka tu chooni, niliwasha bolt nikaondoka zangu, mke wangu alinifuata akiwa na virago vyetu. Huo ndo ulikuwa mwisho wa kutembelea ukweni

Mola awabariki sana wake zetu

Ila mtoto wa mama mkwe atakuja kuua jitu humu ndani
 
Nilimuomba namba mshangazi baa ya jirani ,kurudi jioni nkatambulishwa ni mama yake mdogo na wife
Kuna jamaa yangu alipelekwa na mpenzi wake kwao (na binti), ile kufika tu, kumbe housegirl wa pale ni demu aliyempatia mimba kipindi hicho akatoroka kijijini, housegirl kipindi kile alikuwa mwanafunzi wa form thirii
 
Kiukwel naona hata aibu kuandika. Yan mwenyewe hata kukiwaza tu najionea aibu sanaaa
Bora wewe mkuu, kuna mwanetu alienda ukweni, muda wa kula akavaa msuli akakaa mbele ya mama mkwe, unaambiwa mama mkwe aliweweseka, jamaa sema alikuwa hajajua, kumbe mama mtu kaona mnara unasoma 4G mara unarudi 2G, yaani ilimradi tu aumie. Jamaa alihojiwa na Millard Ayo hapa 👉 - YouTube
 
I'll never forget such kind of moment in my life. Ile wamepika matoke wakayachanganya na maharage, plus matumbo ya ng'ombe, karanga za kusiginwa plus karanga za kutafunwa, humo humo mfuru, kha! Ile siku nilitembea kama naruka majoka vile kuelekea toy kujiharishia, tena mbele ya mama mkwe na madada wa muke wangu

Choo kilikuwa na katundu ka kuchungulia nje ukiwa umechutama, nikitamani waondoke nianze yangu, lakini ndo kwanza wako kwenye kijikeka mbele ya choo. Ile kuchutama tu, walisikia Buuuuuuuum Bhaaaaa Pah! Kila mmoja wao alikuwa mbele ya tukio alikimbia kama mchwa kichaa, mama mkwe alikimbia akiwa ameweka mikono kichwani huku akiuficha mbichwa, wakina dada walikimbia huku wameziba midomo yao ili kuizuia cheko, mke wangu pekee ndiye aliyebaki eneo la tukio akivumilia hali ile ya milipuko ya mabomu ya Mbagala kwa huruma nyingi mno

Nilivyotoka tu chooni, niliwasha bolt nikaondoka zangu, mke wangu alinifuata akiwa na virago vyetu. Huo ndo ulikuwa mwisho wa kutembelea ukweni

Mola awabariki sana wake zetu

Ila mtoto wa mama mkwe atakuja kuua jitu humu ndani
Palenilipokwenda kushtaki makosa ya binti Yao nikaambiwa Mimi mbea kua binti Yao hawajafunda ivyo alooo iliniumiza hiyo kwer kwer sikuwai kurudi tn mpk wakaniuliza nini niliwakosea 😂😂😂
 
😂😂😂 Halafu ukute muda huo unasutwa, umevaa zako shati la mistari halafu umechomekea, plus smartphone kiganjani huku ukiwa siriazi kama wasoma habari ITV, we acha tu mkuu, mambo mengine yanaumiza sana

Same applied to this one 👉 - YouTube
 
Back
Top Bottom