menya inganyi
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 169
- 109
Ngoja tu nikwambie ni asilimia kidgo tu ya wanawake wanapenda hizo mambo za puli sijui/sexhawa viumbe hawana formula hivi madem hupagawa na nini haswa kwa mwanaume
mgegedo mkubwa?
handsome?
six pack?
pesa?
akili?
unene?
kitambi?
urefu?
utundu?
ubahili?
starehe?
usuper star? au maana hawa viumbe hawaelewi kiukweli wapo kundi gani ebu tupeane uzoefu wa hawa viumbe maana wanaume wengi wanasema ata kama una ela alafu unasimamia show vizuri ndiyo wananasa zaidi.... ni kweli wanachanganyikiwa na pulling ya kusuguliwa?
kaka we mfanyie ivyo vyoote unavyosema but ushindwe kumfikisha kileleni then apate wa kumsugua vizuri, hakika nakwambia utashinda humu JF ukiomba ushauri miaka 8Ngoja tu nikwambie ni asilimia kidgo tu ya wanawake wanapenda hizo mambo za puli sijui/sex
Wengi wao wanapenda true love,yaani umpende,umjali,umthamini,umpe nafasi ya kusikilizwa,ukikosea umuombe msamaha na mengine mengi ambayo yanampendeza
NB😛esa inaongeza raha ya mapenzi kwahy usijidanganye ukampetipeti bila hata kumpeleka dinner/usimpe hata hela ya shopping ukategemea akupende na njaa zako sahau
Wewe utakuwa ni mwanamke wa kwanza kwenye hii dunia kukataa pesa,sijui nikupe hongera???Mie hata sijuagi navutiwa na nini
haaa yaani wewe hujui unavutiwa na nini unaishijeMie hata sijuagi navutiwa na nini
hebu kuwa mkweli nijaribu bahati yanguMie hata sijuagi navutiwa na nini
Hahaahahaha sasa pesa si hata mie natafuta jamani?Wewe utakuwa ni mwanamke wa kwanza kwenye hii dunia kukataa pesa,sijui nikupe hongera???
Kwani kuvutia kwa kitu ndio kunasababisha mtu aishi?haaa yaani wewe hujui unavutiwa na nini unaishije
Hautakiwi kuishi kwa kujaribu kufikia hapo umeishapoteza kigezo muhimu[emoji125]hebu kuwa mkweli nijaribu bahati yangu
hawa viumbe hawana formula hivi madem hupagawa na nini haswa kwa mwanaume
mgegedo mkubwa?
handsome?
six pack?
pesa?
akili?
unene?
kitambi?
urefu?
utundu?
ubahili?
starehe?
usuper star? au maana hawa viumbe hawaelewi kiukweli wapo kundi gani ebu tupeane uzoefu wa hawa viumbe maana wanaume wengi wanasema ata kama una ela alafu unasimamia show vizuri ndiyo wananasa zaidi.... ni kweli wanachanganyikiwa na pulling ya kusuguliwa?
hahahahahhaha mbavu zangu miesasa hiyo hoja ya mgegedo mkubwa inakuja vipi ?
Yaani mdada akupende kisa unalo kubwa kwani huko kwenu mnatembea uchi ?
HahahahahahaMie hata sijuagi navutiwa na nini