Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

nipo mama-nimekumisimo
yule anakupaga salamu zangu?!
Hata hanipi, nilimtoa baru kwa kunisumbua kila siku na mkwe mpya, nimemwambia hadi afanye maamuzi ndio akuje, ila aangalie isiwe too late.
 
kaka we mfanyie ivyo vyoote unavyosema but ushindwe kumfikisha kileleni then apate wa kumsugua vizuri, hakika nakwambia utashinda humu JF ukiomba ushauri miaka 8
Kwahiyo kikubwa anachotaka kila mwanamke ni kufika kileleni?
 
hawa viumbe hawana formula hivi madem hupagawa na nini haswa kwa mwanaume
mgegedo mkubwa?
handsome?
six pack?
pesa?
akili?
unene?
kitambi?
urefu?
utundu?
ubahili?
starehe?
usuper star? au maana hawa viumbe hawaelewi kiukweli wapo kundi gani ebu tupeane uzoefu wa hawa viumbe maana wanaume wengi wanasema ata kama una ela alafu unasimamia show vizuri ndiyo wananasa zaidi.... ni kweli wanachanganyikiwa na pulling ya kusuguliwa?
Mpango mzima
 
Mazoezi ni mateso aisee..Yaitaji moyo na nia..Ngoja tu niendelee kufanya sit-up kwa bed..Hope kitaisha
Jitahidi tu mume wangu japo ni kautumwa fulani ila kanalipa.
Huku bed utasababisha na mimi nilete uzi huku jf sasa.
 
Hamna kitu napenda kama mpenzi wangu anijali aonyeshe ana hisia na mm kila mda simu au text baby umekula, unafanya nini sasa hvi, umevaaje acha aisee hvyo vingne sio muhimu sana dudyu lipo tu halina mjadala
 
1472197361902.jpg
 
hawa viumbe hawana formula hivi madem hupagawa na nini haswa kwa mwanaume
mgegedo mkubwa?
handsome?
six pack?
pesa?
akili?
unene?
kitambi?
urefu?
utundu?
ubahili?
starehe?
usuper star? au maana hawa viumbe hawaelewi kiukweli wapo kundi gani ebu tupeane uzoefu wa hawa viumbe maana wanaume wengi wanasema ata kama una ela alafu unasimamia show vizuri ndiyo wananasa zaidi.... ni kweli wanachanganyikiwa na pulling ya kusuguliwa?
kama huna hivyo vitu sepa mapema.
 
Back
Top Bottom