Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

Hawa viumbe hawana formula hivi wasichana hupagawa na nini haswa kwa mwanaume.
Mgegedo mkubwa?
Handsome?
Six pack?
Pesa?
Akili?
Unene?
Kitambi?
Urefu?
Utundu?
Ubahili?
Starehe?
Usuper star?

Au maana hawa viumbe hawaelewi kiukweli wapo kundi gani ebu tupeane uzoefu wa hawa viumbe maana wanaume wengi wanasema ata kama una hela alafu unasimamia show vizuri ndiyo wananasa zaidi ni kweli wanachanganyikiwa na pulling ya kusuguliwa?
Kwenye kupenda kila
mmoja ana preferences zake..

Ila kwenye kutamani wengi wanatamani pesa.
 
Ngoja tu nikwambie ni asilimia kidgo tu ya wanawake wanapenda hizo mambo za puli sijui/sex
Wengi wao wanapenda true love,yaani umpende,umjali,umthamini,umpe nafasi ya kusikilizwa,ukikosea umuombe msamaha na mengine mengi ambayo yanampendeza
NB😛esa inaongeza raha ya mapenzi kwahy usijidanganye ukampetipeti bila hata kumpeleka dinner/usimpe hata hela ya shopping ukategemea akupende na njaa zako sahau
Umesema kweli ila mwisho hujawa muafrika halisi,kuwapa nafasi ya kuishi kitamthilia ni makosa na kuwaendekeza tu,mbona wazazi wetu hawakwenda beach,hawakwenda kukaanga chips ilihali wana chakula nyumbani,waweza jisikia kumtoa out mkeo lakini isiwe mojawapo ya kumfanya eti bila hvyo ndoa itakua ngumu.kwangu mimi hapana!
 
Ngoja tu nikwambie ni asilimia kidgo tu ya wanawake wanapenda hizo mambo za puli sijui/sex
Wengi wao wanapenda true love,yaani umpende,umjali,umthamini,umpe nafasi ya kusikilizwa,ukikosea umuombe msamaha na mengine mengi ambayo yanampendeza
NB😛esa inaongeza raha ya mapenzi kwahy usijidanganye ukampetipeti bila hata kumpeleka dinner/usimpe hata hela ya shopping ukategemea akupende na njaa zako sahau
Uwiiiiii umemaliza yote.
Ni kama umeongelea hitaji la nafsi yangu.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
All of the above, and remember.... woman's need everything.
Hawa viumbe hawapo specific.
Unaweza kupata mmoja ambae yeye atakuambia anataka akuone tu karibu yake, na hata kazini usiende[emoji23] [emoji23]
duh sasa mtakula nn
 
duh sasa mtakula nn
Hapo ikifika muda wa mahitaji, hawa viumbe wanaombaga hela tu, hataki kujua umepata au hauna au hauna kazi.
Ndio maana tumeambiwa sisi wanaume tuishi na wanawake zetu kwa akili, hekima na busara
 
We ndo umemaliza kila kitu apo kula like 100
 
Uwiiiiii umemaliza yote.
Ni kama umeongelea hitaji la nafsi yangu.
[emoji122][emoji122][emoji122]
Hahahaha shost
Hyo ndio habari yenyewe aliyewadanganya wanaume kua tunapenda ngono nani?
We take it for leisure sio kama sheria na kanuni hatupendi ng'o
 
Hapo ikifika muda wa mahitaji, hawa viumbe wanaombaga hela tu, hataki kujua umepata au hauna au hauna kazi.
Ndio maana tumeambiwa sisi wanaume tuishi na wanawake zetu kwa akili, hekima na busara
😂
 
All of the above, and remember.... woman's need everything.
Hawa viumbe hawapo specific.
Unaweza kupata mmoja ambae yeye atakuambia anataka akuone tu karibu yake, na hata kazini usiende[emoji23] [emoji23]
Hahaha
 
Back
Top Bottom