Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

Ni kipi huwavutia wasichana zaidi?

I think wanapenda vitu vizuri, kitambia na ubahili sio vitu vizur
 
Wanawake wanapenda sana vitu unique,
Hasa vya ulemavu, mfano mwanaume anaweza akawa anaongea kama chura anakoroma basi akawavutia wanawake akawa anawagegeda tu.
 
MIE MWANAMKE SIMJARI KWA LOLOTE LILE LAKINI ANANIPENDA NASIJAJUA KANIPENDEA NINI MAANA HATA 100 SIJAWAHI KUMPA LAKINI AMEDATA SANA NAMIE AU KWAKUWA MIE NI MSELA
 
Ukiwa na pesa hayo yote ata kama huna utaambiwa unayo yaan hata kama unakitambi utaambiwa una six packs,mbaya utaambiwa mzuri
 
A human is mult-complex biological, social, economic and blah blah nyingi. Thus, he can't be satisfied by only one, two, three needs...

Mwanamke hana ukomo wa mahitaji..akijiskia kuhitaji kama kipo anatumia. Kama hakipo anapambana kukipata.
 
Kuna jamaa mmoja mfupi, akiongea mdomo unatema hata akiwa mita 2, ila ndo ivo mademu tena wakali wanamgombania sababu ana hela na anabadili magari.
 
Wanawake wanapenda sana vitu unique,
Hasa vya ulemavu, mfano mwanaume anaweza akawa anaongea kama chura anakoroma basi akawavutia wanawake akawa anawagegeda tu.
Hahahaaaaa! Aisee hao wanawake wa sayari gani?
 
Back
Top Bottom