Kwa mtazamo wako, je kuna watanzania wenye akili?Unahitaji PhD kujua kuwa akili ndiyo imeleta simu,computer,magari,ndege,radar,barabara za lami,reli,radio,tv,madawa ya tiba na kadhalika?
Kama darasani unapata A masomo yote halafu hakuna cha maana unachoongeza hapa duniani akili yako iko wapi?
Kama akina Sir Isaac Newton,akina Faraday,akina Archimedes na kadhalika wangekuwa wanapata A masomo yote darasani na kwenda kulala na kudai kuwa wana akili sana,je leo hii tungekuwa na Ndege,magari,rocket,umeme,meli na kadhalika?Kuwa na akili maana yake ni kuongeza kitu cha maana hapa duniani na siyo vinginevyo.
Watanzania wenye akili ni wachache mno na wanahesabika.Kwa mtazamo wako, je kuna watanzania wenye akili?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Na vp ikitokea ndoa imevunjika labda kwa usaliti wa wazwaz (wife kacheat) tunasema mume atakuwa c mwenye akili?Dah...kudumu kwenye ndoa.....
Imeandikwa....." Muishi nao kwa akili"
1 Petro 3:7
Dah...Kama ndoa imevunjika...maana yake kosa ni la mume tu...Hana akili...,ni maandiko hayo[emoji2960]Na vp ikitokea ndoa imevunjika labda kwa usaliti wa wazwaz (wife kacheat) tunasema mume atakuwa c mwenye akili?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah...kudumu kwenye ndoa.....
Imeandikwa....." Muishi nao kwa akili"
1 Petro 3:7
KweliLkn wanasema mali inaletwa kwa akili, ipo vp hapo mkuu?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app