Ni kipi kipimo bora cha akili?

Ni kipi kipimo bora cha akili?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Habari wakuu, JF hom of great thinkers.

Kama heading ijielezavyo, ni kipi kipimo sahih cha akili? Au mpaka tuseme fulani ana akili tunazngatia vigezo vipi?

Kuna uhusiano gan kati ya akili ya mtu na matendo yake?

Mgunduzi mzuri wa vitu & ideas lkn hana uwezo mkubwa wa kuhifadh kumbukumbu na mwenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi kumbukumbu lakin c mwenye kugundua vitu vipya yupi kati yao tunasema mwenye akili

Kwenu wanaJF, home of great thinkers. Tiririka kwa mtazamo wako
 
Unahitaji PhD kujua kuwa akili ndiyo imeleta simu,computer,magari,ndege,radar,barabara za lami,reli,radio,tv,madawa ya tiba na kadhalika?

Kama darasani unapata A masomo yote halafu hakuna cha maana unachoongeza hapa duniani akili yako iko wapi?

Kama akina Sir Isaac Newton, akina Faraday, akina Archimedes na kadhalika wangekuwa wanapata A masomo yote darasani na kwenda kulala na kudai kuwa wana akili sana, je leo hii tungekuwa na Ndege, magari, rocket, umeme, meli na kadhalika? Kuwa na akili maana yake ni kuongeza kitu cha maana hapa duniani na siyo vinginevyo.
 
Unahitaji PhD kujua kuwa akili ndiyo imeleta simu,computer,magari,ndege,radar,barabara za lami,reli,radio,tv,madawa ya tiba na kadhalika?

Kama darasani unapata A masomo yote halafu hakuna cha maana unachoongeza hapa duniani akili yako iko wapi?

Kama akina Sir Isaac Newton,akina Faraday,akina Archimedes na kadhalika wangekuwa wanapata A masomo yote darasani na kwenda kulala na kudai kuwa wana akili sana,je leo hii tungekuwa na Ndege,magari,rocket,umeme,meli na kadhalika?Kuwa na akili maana yake ni kuongeza kitu cha maana hapa duniani na siyo vinginevyo.
Kwa mtazamo wako, je kuna watanzania wenye akili?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kutatua matitizo/changamoto kwa njia sahihi/halali na kwa mapema zaidi
 
Kwa mtazamo wako, je kuna watanzania wenye akili?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Watanzania wenye akili ni wachache mno na wanahesabika.

Mfano mzuri sana ni mwanzilishi wa hii jamiiforums, ni moja kati ya watanzania wachache sana wenye akili na wanaohesabika kwa sababu aliweza kubuni kitu ambacho kinaleta faida na mapinduzi fulani katika jamii.

Please, kumbuka hapa namzunguzia mwanzilishi na wala siyo mmiliki(kumiliki maana yake ni kwamba unaweza kununua na ukawa na haki miliki) wala msimamizi. Nazungumzia mtu wa mwanzo kuja na idea ya kuanzisha jamiiforums.
 
Jukwaa la siasa waliomo kule hawana akili wengi tu ukichunguza hicho nacho nikipimo kipatikanacho jf pekee
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hujatueleza umetumia kigezo gan mkuu kujua hilo
 
Back
Top Bottom