Ni kipi kipimo bora cha akili?

Ni kipi kipimo bora cha akili?

Naona mtu mwenye akili sana (maana tunazidiana akili) ni yule anayeleta kitu kipya duniani ambacho hakijawahi Kuwepo toka dunia ianzishwe.

NB; Kuna utofauti wa akili na akili sana coz wenye akili ni wengi ila wenye akili sana ni wachache.
 
Kwa mtazamo wako, unadhani wenye akil san Tanzania wameshawah tokea?
 
Habari wakuu, JF hom of great thinkers.

Kama heading ijielezavyo, ni kipi kipimo sahih cha akili? Au mpaka tuseme fulani ana akili tunazngatia vigezo vipi?

Kuna uhusiano gan kati ya akili ya mtu na matendo yake?

Mgunduzi mzuri wa vitu & ideas lkn hana uwezo mkubwa wa kuhifadh kumbukumbu na mwenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi kumbukumbu lakin c mwenye kugundua vitu vipya yupi kati yao tunasema mwenye akili

Kwenu wanaJF, home of great thinkers. Tiririka kwa mtazamo wako
Njaa
 
Back
Top Bottom